Kenyans wamechoka! Wakazi wa Mbeere Kusini wamtaka Mbunge wao kutimiza ahadi zake

IAfrika

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
276
217
Angry residents of Mbeere South pelted stones and chased away their MP, Col. Geoffrey King'ang'i for failing to fulfil numerous promises he made to them.

chhokka.jpg
CHOA.jpg
chokA.jpg

Hii imefuraisha watu kwa comments hapa👇

 
Jamaa kakimbia saana, wasije wakamvunja mguu.

Hili ni tatizo la Dunia. Wanasiasa wakishafika maofisini wanayasahau walioahidi.

Lakini ni tatizo la karibia kila mmoja. Je, ni wangapi wanaotimiza ahadi ndogo ndogo tu kwenye maisha ya kila siku!
 
Wakazi wa kusini mwa Mbeere shukrani sana, huo ndio mwendo, kila kiongozi anayekuja kutafuta kura maeneo yoyote nchini ahakikishe ana kila cha kuonyesha nini amefanya au kufanikisha kwa kipindi amekua kwenye uongozi, la sivyo abaki huko huko, haijalishi wa chama kigani au hata kama anapigiwa debe na rais, tutamchomoa kwenye msafara wa rais na kumtoa nduki.
 
Ila kunaonekana kuna umaskini na ufukara mno, cheki kulivopauka na watu walivyochakaa kwa kukosa matumaini

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo ni maeneo ya kijijini halafu ni jimbo ambalo lipo maeneo kame nchini, pia wamewahi kukumbwa na mashambulizi ya nzige, hata hivyo licha ya yote hayo bado hauwezi kuwalinganisha hata na maeneo yenye rotuba Tanzania, utakuta hao Wakenya wako mbele.

Wakenya hujituma licha ya changamoto za kimazingira.
 
Hayo ni maeneo ya kijijini halafu ni jimbo ambalo lipo maeneo kame nchini, pia wamewahi kukumbwa na mashambulizi ya nzige, hata hivyo licha ya yote hayo bado hauwezi kuwalinganisha hata na maeneo yenye rotuba Tanzania, utakuta hao Wakenya wako mbele.

Wakenya hujituma licha ya changamoto za kimazingira.
😂😂 uko ni kujifariji tu Wakenya mnajituma linapokuja swala la kuhujumu taifa lenu tu, yahani wizi kwa kwenda mbele yahani ukiona wakenya kumi basi jua nane kati yao ni wezi wazuri tu.
 
😂😂 uko nikujifariji tu wakenya mnajituma linapokuja swala la kuhujumu taifa lenu tu, yahani wizi kwa kwenda mbele yahani ukiona wakenya kumi basi jua nane kati yao ni wezi wazuri tu.

Taarifa za huu uzi zinapaswa ziwape fundisho fulani Watanzania, muache kuishi kwa mazoea, mpo kwenye kipindi cha kampeni, wanakuja kuwaambia watakachowafanyia, muache kufia chama ilhali mpo maskini wa kutupwa.

Je wewe uko kwa hawa 66% wasio na elimu? Kazi yenu kuimba mapambio mkikesha kuponda Kenya.

2493310_IMG_20200821_113304.jpg


2244989_FB_IMG_15763488720020943.jpeg
 
Mbeere is a dry area and what you see is simply dryness, not poverty. The averageMbeere is still richer than the average Tanzanian. Travel there and see.
Hahahaha, Tanzania has 3times number of dollar Millionaires than Kenya, population below poverty line is 26%, while Kenya is 38%, unemployment rate Kenya is 48%, in Tanzania is 22%, in Tanzania everybody has access to free land for food production, there is no hunger.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa za huu uzi zinapaswa ziwape fundisho fulani Watanzania, muache kuishi kwa mazoea, mpo kwenye kipindi cha kampeni, wanakuja kuwaambia watakachowafanyia, muache kufia chama ilhali mpo maskini wa kutupwa

Je wewe uko kwa hawa 66% wasio na elimu? Kazi yenu kuimba mapambio mkikesha kuponda Kenya.

2493310_IMG_20200821_113304.jpg


2244989_FB_IMG_15763488720020943.jpeg
Haya ndio maisha ya micccm duh!!!
 
Jamaa anaitwa King'ang'i- mamba kwa kimbeere, kiembu, kitharaka, kichuka na kikamba pia, ila ana mbio kama swara. Vaaii ariteng'era marathoni ta Kipchoge mukuru!
 
Kama kupo rich, kwanini wamkurupushe huyo MP wenu?
Kadanganye watoto wenu walioko kwa lockdown.
Kwahivyo masikini ni wale ambao huwa wanawawajibisha wawakilishi wao na matajiri huwa hawana kero ambazo wanategemea zitatuliwe na viongozi wao? Hongera kwa kutumia kichwa chako kwenye shughuli moja tu ya kubebea meno.
 
Kwahivyo masikini ni wale ambao huwa wanawawajibisha wawakilishi wao na matajiri huwa hawana kero ambazo wanategemea zitatuliwe na viongozi wao? Hongera kwa kutumia kichwa chako kwenye shughuli moja tu ya kubebea meno.
Hivi wakenya mnapata wapi ujasiri wa kuzungumza na Tanzania kuhusu politicians wenu wasivyowajibika kwa wananchi badala yake wao hujilimbikizia Mali.

Katika eneo la wanasiasa kuwajibika na kuwatumikia wananchi badala ya kujilimbikizia mali, Tanzania inaongoza Africa nzima, Tanzanian politicians are closer to wananchi than any other politicians in Africa if not in the World.

Magufuli is the most hardworking president in the World currently still the second poorest and less paid president in Africa after Buhari of Nigeria.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Is that a desert or what?

Jesuuuuu!! Ndio pamechakaa namna hii huko Kenya!?
 
Back
Top Bottom