Kenyans Raid Tarime Village | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenyans Raid Tarime Village

Discussion in 'International Forum' started by Dua, Dec 7, 2007.

 1. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hundreds of Kenyan Tribesmen Stage Raid On Tarime Village

  Sasa hawa sijui tuwaite ni majambazi au nini? Tunasubiri taarifa kamili kutoka serikali zote mbili kuhusu uvamizi huu.
   
 2. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Vyombo vya habari Kenya wanasemaje?
   
 3. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleni sana. Hii tabia sasa inataka kuanza kwenye huo mpaka pia? Imekithiri sana kati ya Kenya na Uganda, Kenya na Sudani na Kenya na Ethiopia. Kabila za mipakani ambazo zinaishi pande mbili za mpaka baina ya nchi hizi zinapenda sana kuingiliana. Ila ni bora ukiangalia mzozo huo from a worm's eye view yaani kama mzozo dhidi ya kabila jirani na adui tangu jadi. Wakurya, wamasaai, wakipsigis, waluo, wamekuwa wakikandamizana kwa wizi wa ng'ombe na kadhalika kwa miaka zaidi ya mia 3.

  Ukisema utumie uraia wao hio pia ni sahihi ila its not true that they attacked in their capacity kama Kenyans. They did not come as Kenyans and attacked the Kurya villagers as defenceless Tanzanian victims. It will take intra-regional and inter-governmental efforts kusaga hawa magaidi. Thats why we need this kind of crossborder dialogue kati ya polisi ya Kenya na ya Tanzania. Majuzi waPokot fulani magharibi ya Kenya walikuwawamezoea kwenda kuiba huko Uganda na kisha wanatorokea huku. waPokot wa Uganda pia walikuwa wamezoea kuiba Kenya na kutorokea huko UG. Basi Juni kulifanyika operesheni kali iliyoleta pamoja majeshi ya Uganda na polisi ya Kenya. Amini usiamini UPDF waliingia hadi kilomita zaidi ya thelathini kuponda wakorofi hawa. Wengine walilia eti Kenya inavamiwa lakini serikali iliwaacha wapewe adhabu.

  Kwa mengi zaidi cheki hapa:

  http://www.irinnews.org/report.aspx?reportid=31979
   
 4. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2008
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Pengine lilinipita, hivi serikali ya Tanzania ilisema nini kuhusiana na tukio hili?
   
 5. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwani Tanzania kuna serikali?
   
Loading...