komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,549
- 5,646
Kisha mkiletewa vitu wanvyomiliki wakenya marekani na europe mtaanza kulialiaKwenda USA na Europe kubeba mabox sio
We unajua europe na marekani ndio sehemu ambayo labour charge iko juu sana
Kisha mkiletewa vitu wanvyomiliki wakenya marekani na europe mtaanza kulialiaKwenda USA na Europe kubeba mabox sio
Hahahah, si bora wanaotandikwa mboko na watawala wao kuliko Wakenya wanaotandikwa Mboko na Wachina
Halafu Mbona watz wengi sana tunezurula duniani, mfano mimi binafsi nimepiga misele sana hapo Kenya, Uganda, Tunisia, Turkey na Germany, Na wala sioni kama ni jambo la ajabu
Offcause there is some truth in your view the problem is you are an echo chamber per excellence yet you know nothing another thanKenyans in Tanzania have contributed to that too!
Do you even know the meaning of foreign currency reserve?3$ B in Kenya ni leading source of national forex
Wakati almost the same percent in Tanzania is not even making 30% of the total national forex reserve
Yaani mnazidi kuonesha namna uchumi wenu ulivyo wa makaratasi na fake
View attachment 1667207
Of they have. Wanachuma pesa huko and they know where to take itKenyans in Tanzania have contributed to that too!
Since when did foreign exchange lead to economic instability? Why then do you market your tourism spots to foreign travellers? Why do you export gold and other valuables outside your country? Are these not sources of foreign income? Ama inakua tu mbaya Kenya ikipokea nyingi kuwaliko? Poor soulsPesa ya tourism ni matokeo ya production within the country, remittance ni sawa na kuomba, there is no any production in Kenya which matches with that amount of money. Matokeo yake too much money in the country but very few goods and services to spend on, inflation will be Skyrocketing, Economy shall never be stable and very unpredictable.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
In fact most of this money goes into investment.Inflation ya Kenya iko bambam. Imechezea chini ya 10% kwa miaka nyingi sasa. Halafu hio pesa haitumiki tuu kwa matumizi ya kila siku bali inatumika pia kufanya investments ikiwemo kununua mashamba na viwanja na kujenga majumba na kadhalika.
Wewe ulitakaje kwa mfanoHii nchi nazani kwa sasa hata walioko nje wanaogopa kutuma pesa Tanzania.
India kama sijakosea ndo nchi ambayo Diaspora wake wanaongoza kwa kutuma nyumabani pesa nyingi kuliko nchi yoyote ile Duniani.
Kenya hawako mbali Trlion 7 na ni pesa mingi sana kwa uchumi wa nchi.
Tuendelee kuongozwa na washamba kwanza.View attachment 1679026
Tz tilikuwa huko ila now a day wamesusa kutokana na sheria ngumu za ndani. Kweli maendeleo hayana chamaHii nchi nazani kwa sasa hata walioko nje wanaogopa kutuma pesa Tanzania.
India kama sijakosea ndo nchi ambayo Diaspora wake wanaongoza kwa kutuma nyumabani pesa nyingi kuliko nchi yoyote ile Duniani.
Kenya hawako mbali Trlion 7 na ni pesa mingi sana kwa uchumi wa nchi.
Tuendelee kuongozwa na washamba kwanza.View attachment 1679026
Mtu anatumiwa pesa mnamuuliza za nini?
Ushamba umekaa pabaya sana