LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Dude unaelewa haya maneno. Actually I was suprised kupata akina Ochieng na Omondi from UgandaKwa hiyo wale akina Kip... na Chep... wanaotoka Uganda sio Wakalenjin? Hizo subgroups zipo karibia kwenye makabila yote Afrika.
Hata Waluo kwa Uganda wanaitwa Waacholi, hilo halifanyi wasiwe kitu kimoja.
Punguza ujinga kidogo.