Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,502
- 1,047
We ndio mjinga usiejielewa, subtribes za Kenya jinsi walivyofanya grouping nitofauti na Tanzania wala Uganda. Kwa mfano kalenjin ina lugha nane tofauti japo wamewekwa Kwa jamii moja lugha zao ni tofauti ,mfano wa pili ni jamii ya kiluhya ina lugha kumi na nane na inaitwa kabila moja mluya kutoka vihiga akizungumza mluya wa busia au bungoma hataelewa Kwa 100% hata lafudhi zao ni tofauti . Kwa taarifa yako neno Luo lililetwa na jaramogi Oginga kuwaunganisha watu ambao waliitwa river- lake Nilotes for administrative purposes,pili jamii ya lang'i na acholi sio waluo Ila lugha Yao ina ukaribu kiasi na kiluo cha Kenya kama unakielewa kijaluo leo hii utembelee maeneo ya Arua,pader na gulu utaelewa kwamba lugha zao zinautofauti mkubwa Sana. Lakini Kwa sababu ni Nilotes wanauwezo wa kuelewana kama ilivyo tu Kwa lugha za kibantu,Ile jamii ambayo najua wanakaribia waluo Kwa lugha wadama wanapatikana maeneo ya Tororo Uganda.Kwa hiyo wale akina Kip... na Chep... wanaotoka Uganda sio Wakalenjin? Hizo subgroups zipo karibia kwenye makabila yote Afrika.
Hata Waluo kwa Uganda wanaitwa Waacholi, hilo halifanyi wasiwe kitu kimoja.
Punguza ujinga kidogo.