Kenyans break record in Prague race

Hata Wakalenjin wa Uganda huwa wanashinda Marathon.
Nyie Wakikuyu ndiyo mabingwa wa ukabila kwa hiyo muache kujipendekeza makabila mengine yakiwakilisha nchi.
Sidhani kama Uganda Wana jamii ya kelenjini, kalenjini ni mkusanyiko wa kabila ndogo nane ambazo zimeeunda kabila moja kubwa la kikalenjini,na kama Uganda lipo basi liitaitwa vingine maana Uganda hawana kabila kama kalenjini.
 
We endelea kuunga juhudi tu...kuja kw business..utawakuta tu hao..kenya kila sekta iko na qatu wame dorminate sana..sio hko kila kitu kabila kuu ccm..kabila la chadema linapigwa chini kw kila kitu tu
And they are all Kalenjins, no Wanjiku, Wamae, Munyua or Wanjiru.
 
Kweli mkuu...wengi wao wana asili za kirundi...
Hakuna kitu ambacho Watanzania huweza, maana hata ukiangalia nyimbo za Kibongo, wasanii wote wa kusikika na kusifika wana asili ya Burundi, wote hao akina Diamond wametokea huko Kigoma ambapo wengu mababu zao Warundi.
 
I told you Uganda hakuna kalenjini because I know what am talking about, don't bring me blogs. In Kenya we have ,Nandi ,kipsigis,keiyo,markwet,Turgen ,pokot ,sabaot and terik which make up the kalenjini community, we don't have sebei in Kenya ,all kalenjini subtribes speak different languages but they can understand each other. I have seen some Tanzanian with Kenya's names but there tribes are not even in Kenya.
 
Kwa chuki zako hata sikushangai kuzungumza ukumbafu
Hakuna kitu ambacho Watanzania huweza, maana hata ukiangalia nyimbo za Kibongo, wasanii wote wa kusikika na kusifika wana asili ya Burundi, wote hao akina Diamond wametokea huko Kigoma ambapo wengu mababu zao Warundi.
 
Sidhani kama Uganda Wana jamii ya kelenjini, kalenjini ni mkusanyiko wa kabila ndogo nane ambazo zimeeunda kabila moja kubwa la kikalenjini,na kama Uganda lipo basi liitaitwa vingine maana Uganda hawana kabila kama kalenjini.
You might actually be right. The Sebei of Uganda are not a sub-tribe of the Kalenjin.
 
Hehehe eti HiviSasa? Please would advise you to never visit that site again. It is full of lies.
Hahaha! :D Dah! Watz huwa wanasoma hizi blog za ajabu ajabu? Sikujua! Alafu wao wenyewe wameandika 'kalenjins'. Hata mwanafunzi wa darasa la tatu anajua hiyo inamaanisha nini.
 
BTW kuna sites zingine hata nikipata habari tamu aje siezileta huku. Sites kama
HiviSasa
Kagawa Tungu
Tuko etc
 
Naona mshaanza uwendawazimu, mbona mombasa kihalisia ni Tanzania, na watu wa mombasa asili yao ni Tanzania. Au unajifanya hujui kiazi wewe. Na kama pia ni hvyo mbna westen kenya asili yao ni uganda, north east asili yao ni somalia south east asili yao ni Tanzania especially mombasa so it means kenya haikutakiwa kuwepo kwenye ramani c ndvyo?
Kweli mkuu...wengi wao wana asili za kirundi...
 
Leta ushahidi wa hvo vitu unavyoviongea hapa..wacha porojo...khaa leo wasomali mnawatambua km kuna wakenya na somalia...tatizo lenu mnaruka ruka...nasubiri ushahidi wa hao watu ambao asili yao ni tanzania kijana
Naona mshaanza uwendawazimu, mbona mombasa kihalisia ni Tanzania, na watu wa mombasa asili yao ni Tanzania. Au unajifanya hujui kiazi wewe. Na kama pia ni hvyo mbna westen kenya asili yao ni uganda, north east asili yao ni somalia south east asili yao ni Tanzania especially mombasa so it means kenya haikutakiwa kuwepo kwenye ramani c ndvyo?
 
I told you Uganda hakuna kalenjini because I know what am talking about, don't bring me blogs. In Kenya we have ,Nandi ,kipsigis,keiyo,markwet,Turgen ,pokot ,sabaot and terik which make up the kalenjini community, we don't have sebei in Kenya ,all kalenjini subtribes speak different languages but they can understand each other. I have seen some Tanzanian with Kenya's names but there tribes are not even in Kenya.

Kwa hiyo wale akina Kip... na Chep... wanaotoka Uganda sio Wakalenjin? Hizo subgroups zipo karibia kwenye makabila yote Afrika.
Hata Waluo kwa Uganda wanaitwa Waacholi, hilo halifanyi wasiwe kitu kimoja.

Punguza ujinga kidogo.
 
Naona mshaanza uwendawazimu, mbona mombasa kihalisia ni Tanzania, na watu wa mombasa asili yao ni Tanzania. Au unajifanya hujui kiazi wewe. Na kama pia ni hvyo mbna westen kenya asili yao ni uganda, north east asili yao ni somalia south east asili yao ni Tanzania especially mombasa so it means kenya haikutakiwa kuwepo kwenye ramani c ndvyo?
Tanga yote asili yao Mombasa, Pwani yetu ina miji kenda ambao kunao walienda huko Tanga.
 
Naona mshaanza uwendawazimu, mbona mombasa kihalisia ni Tanzania, na watu wa mombasa asili yao ni Tanzania. Au unajifanya hujui kiazi wewe. Na kama pia ni hvyo mbna westen kenya asili yao ni uganda, north east asili yao ni somalia south east asili yao ni Tanzania especially mombasa so it means kenya haikutakiwa kuwepo kwenye ramani c ndvyo?
Kama mtaala wa Tanzania unafunza kuwa Mombasa ilikua sehemu ya Tanzania na watu wa Mombasa asili Yao ni Tanzania basi dunia isimame nishuke. Mombasa itakuaje sehemu ya Tanzania ilihali haipo hata mpakani na Tanzania? Watu wa Mombasa itakuaje asili Yao Tanzania na historia ipo wazi kila mja yuajua bantus asili Yao na waarabu pia wanajulikana walikotoka . Hata kabla ya Uhuru na Kenya kuitwa Kenya hakuna historia inayosema watu wa Mombasa au pwani waliungana na watanzania kupigana na mjerumani usituletee elimu uchwara uliofunzwa kule Kwa mfuga mbwa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom