Kenyans beat neighbours in the race of life

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,403
Kenya has made big strides in improving the life expectancy of its citizens, who are poised to outlive their East African neighbours except Rwandese by 2040, a new global demographic report says.
The report published in the international medical journal Lancet last week says Kenyans are expected to live for 73.9 years by the year 2040.
This will be a significant improvement from the average life expectancy of 66.9 years in 2016 that placed the country 146th among 195 nations.

“Kenya could rise to a rank of 134 in 2040 with an average life expectancy of 73.9 years, an increase of seven years. Kenya’s life expectancy could increase by as much as 11.1 years in a better health scenario or decrease by 0.7 year in a worse health scenario,” the report says.
Using data from the 2016 Global Burden of Disease study, which examined data and estimates from 1990 to 2016, researchers at the University of Washington in Seattle generated predictions from 2017 to 2040 for the 195 countries.
"Whether we see significant progress or stagnation depends on how well or poorly health systems address key health drivers," the director of data science at the Institute for Health Metrics and Evaluation (IHME) and lead author of the study, Kyle Foreman, said, adding that the future of the world's health is not pre-ordained, and that there is a wide range of plausible trajectories.
Mr Foreman said understanding potential trajectories in health and drivers of health was crucial to guiding long-term investments and policy implementation.
The study predicts that non-communicable diseases will be the major cause of death for East Africans going forward.
https://www.businessdailyafrica.com...race-of-life/539546-4816570-jc6klb/index.html
 
Ukitaja Rwanda kwa Mtanzania huingiwa na kiwewe, Mr. Slim aliwahenyesha sana, kaishi Bongo kipindi kirefu sana hivyo anawafahamu hadi kwenye vyumba vya ndani, ndio maana huwa hawana hamu naye akianza kuzingua.
Huyo Slim alizingua kipindi cha Jakaya tukawaswaga Watu wao na ng'ombe kuwarudisha akaufyata! Infact alilia lia sana mpaka kigazeti chao kikawa kinaandika kiongozi wa waasi Rwanda FDRL amepewa hifadhi Dodoma

Rwanda haina cha kuitisha Tanzania, hivi ulishatembea Rwanda nje ya Kigali? Ni nchi masikini sana achana na PR wanayoifanya. Na kuna wakati PR yao ilikuwa ikifanywa na Kampuni moja ya Canada.

Halafu una ushahidi kuwa ameishi Tanzania muda mrefu. Maisha ya Kagame ni Uganda ambako alikuwa Mkuu wa idara ya Ujasusi. Tanzania tulimpa 'elimu' kidogo somewhere Morogoro. Hakawezi kututisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bwana ako gani mtz alikudanganya hii stori ili akukule??
 
Hehehe mtoto ambaye ana akili kuliko mamake? Ungesema dwarf na giant
Watanzania hatunaga kawaida ya kujilinganisha na mataifa mengine kama hujui ujue leo, hiyo tabia mnayo nyinyi, Rwanda sio nchi hata ya kulinganisha na Geita, Tanzania imewapa uraia wanyarwanda zaidi ya million tokea genocide na hata mahakama ya kushugulika na past genocide ilikua Arusha ni juzi tu imefungwa.

Tanzania ndio inailisha Rwanda, bidhaa zaidi ya 50% za Rwanda zinatoka Tanzania na wanyarwanda wengi tu wanaingia Tanzania hasa Kigoma, Geita, Kagera, Mwanza kufanya kazi huko ziwa Victoria na Tanganyika na wengine kwenye migodi na mashamba.

Wafugaji wa Rwanda wanategemea Tanzania kulishia mifugo yao na kuuzia nyama na maziwa na wengi wamebadili uraia baada ya ile operation ya kuondoa mifugo isiyo ya Tanzania ili tu wabakie Tanzania, So sioni hata mantiki ya hii rubbish unayoiongea hapa.
 
Ndio maana FaizaFoxy hukunyorosha sawasawa wewe. S we' ndiy umejilinganisha na Rwanda kwa kusema kuwa ni mtoto na tz ni mama .Jiangalie
 
Huyo Slim alizingua kipindi cha Jakaya tukawaswaga Watu wao na ng'ombe kuwarudisha akaufyata! Infact alilia lia sana mpaka kigazeti chao kikawa kinaandika kiongozi wa waasi Rwanda FDRL amepewa hifadhi Dodoma

Rwanda haina cha kuitisha Tanzania, hivi ulishatembea Rwanda nje ya Kigali? Ni nchi masikini sana achana na PR wanayoifanya. Na kuna wakati PR yao ilikuwa ikifanywa na Kampuni moja ya Canada.

Halafu una ushahidi kuwa ameishi Tanzania muda mrefu. Maisha ya Kagame ni Uganda ambako alikuwa Mkuu wa idara ya Ujasusi. Tanzania tulimpa 'elimu' kidogo somewhere Morogoro. Hakawezi kututisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe nilijua nimewagusa penyewe na mtatiririka povu, huyo jamaa mkitajiwa huwa mnababaika sana, nakumbuka kuna kipindi humu JF jukwaa la kimataifa lilijaa mada za kumjadili, kila siku mkilialia kumhusu....
 
Rwanda kanchi kadogo huhemesha tz sana
Naskia unauza utamu ni ya kweli hayo?

Rwanda haina jeuri kwa Tanzania ile nchi inaihitaji saana Tanzania hasa kwenye msosi pia na usalama wake unaotegemea saana sera za tz

Hiyo sijui life nini sidhan kama ni ukweli

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hayo ya kuuza utamu hata siyaelewi. I think that frivolous element by the name mkorinto is high on sth.
 
Back
Top Bottom