kenyans and their mistrusted hypocritical behavior

Betty Kyalo amefurahi sana venye anaambiwa atafinywa. Atafinywa kwa airport na kwa kiti. She is a certified poko who couldn't last in her marriage for six months. She cheated on Dennis Okari with Joho.
 
ok, so wewe umeona matiti tu kwa huo wimbo na haujaangalia context iliyotumika.
so which song between the two is more explicit?
binafsi sina titizo na mashahiri ya wimbo,i'm ok with it.

shida yangu ni baadhi ya wakenya kulalamikia mashahiri yake wakati mashahiri ya nyegezi wali support.
 
Betty Kyalo amefurahi sana venye anaambiwa atafinywa. Atafinywa kwa airport na kwa kiti. She is a certified poko who couldn't last in her marriage for six months. She cheated on Dennis Okari with Joho.
kuna baadhi ya madem huvutiwa zaidi na wanaume wanao talk dirty.
so may be betty kyallo has a secret fantasy na wanaume wa aina hiyo...nobody knows.
 
binafsi sina titizo na mashahiri ya wimbo,i'm ok with it.

shida yangu ni baadhi ya wakenya kulalamikia mashahiri yake wakati mashahiri ya nyegezi wali support.
mi ninaona shida ni kumshirikisha Betty Kyalo kwenye hio clip. otherwise hio nyimbo nilishawai kuisikiliza kitambo sana alipokuwa anamwimbia gf yake na hakukuwa na uproar ya aina yoyote.
 
mi ninaona shida ni kumshirikisha Betty Kyalo kwenye hio clip. otherwise hio nyimbo nilishawai kuisikiliza kitambo sana alipokuwa anamwimbia gf yake na hakukuwa na uproar ya aina yoyote.
 
Unajua hilo neno kupiga miti lilianzia Bongo! Kwakua mnasikiliza bongo fleva sana tuna influence kiswahili chenu. Wakina otile na Khaligraph wanachota maneno mapya na wenyewe wana yaimba ili waende na trend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupiga miti, 'kusaksua', 'kuthiokora', siku hizi wanasema 'kunyandua'. Sheng sio lugha constant, kila siku maneno mapya yanaibuka.
 
Betty kyalo nimempenda sana aisee

Sijawahi dhani Luna wakenya wazuri hivi .

Shes a black beauty with long dark hair

I loved her smile .

"Nataka kukupiga miti"

"Nataka kukushika matiti"

Hahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupiga miti, 'kusaksua', 'kuthiokora', siku hizi wanasema 'kunyandua'. Sheng sio lugha constant, kila siku maneno mapya yanaibuka.
Sisi huku kwa kiswahili fasaha tubaita misimu yaani maneno yanayozuka na kufa na Mara nyingi hukutumika kwa watu was jamii na rika fulani

Umenipata mkenya

Njoo tuwapige "msasa" kiswahili chenu kinyooke .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom