kenyans and their mistrusted hypocritical behavior

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
bila shaka mnakumbuka tukio la baraza la sanaa nchini tanzania(basata) kufungia wimbo wa nyegezi ulioimbwa na mwanamziki rayvanny ft diamond platnumz.

basata imewapiga marufuku diamond platnumz na rayvanny kutoimba wimbo wa nyegezi mahali popote pale wanapo tumbuiza kutokana mashahiri yake kutozingatia maadili.

baada ya siku chache, mamlaka ya kenya inayohusika na ku control maudhui ya kazi za sanaa ikatoa tamko la kuutambua wimbo huo na kudai kwamba mashahiri yake hayana shida yoyote.

kwa maana hiyo diamond platnumz na rayvanny wapo huru kuuimba kwenye majukwaa ya kenya kama walivofanya hivi karibuni kwenye tamasha lao sikukuu za mwisho wa mwaka.

jana mwanamziki wa kenya khaligraph jones ambaye binafsi huwa nakubali sana ngoma zake, alipost video fupi kwenye ukurasa wake wa instagram ikimuonyesha akimuimbia mtangazaji wa tv betty kyallo mashairi ya wimbo wake wa "nataka kukupiga miti".

wakenya walewale waliodai wimbo wa nyegezi hauna shida yoyote, wame react kwa hasira kumlaumu khaligraph jones kwamba mashahiri ya wimbo wake wa "nataka kukupiga miti" hayana maadili.
kwa kweli huu ni unafiki wa hali ya juu sana.

tafadhali wakenya, mwacheni khaligraph jones afanye kazi yake. mkiendelea kumsumbua, tutamshawi ahamie tanzania.
huwa hatushwindwi kitu.

na kwa kuonyesha jeuri, tutamkabidhi 100 hectares of land for free ili afanye investment yoyote ile atakayojisikia.

tunajua moja ya kero kubwa miongoni mwa wakenya ni ukosefu wa ardhi kutokana na ardhi kubwa kunyakuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara wachache.
IMG_20190111_164344.jpeg
Screenshot_2019-01-11-16-58-58-374_com.opera.browser.jpeg
 
yaani hakuna talent huko Kenya yaani kavukavu anamwambia demu "anataka kumpiga miti"! at least Diamond na Rayvann waliweka tafsida "nyege-zi"! hii naita double standard ya hawa jamaa!
tangu jana wanamshambulia sana kwa maneno huko instagram. ikabidi jamaa aiondoe ile video.
 
Nyuzi kama hizi za kitoto ndio zimeshusha hadhi ya jukwaa hili. Yaani ni umbea umbea tu. Wakenya walikubali lini 'mashairi yote' kama unavoyaita, ya huo wimbo wa Diamond? Kilichopingwa vikali na wakenya ni Diamond kupigwa marufuku kuperform, hata nje ya nchi ya Tz. Alafu hayo ya ardhi umeyataja ndio iweje sasa?
 
nakuja kukupiga miti... punguza povu.
 
Dah hii ndio nimeiona leo, hapo jamaa kapitiliza, eti aguse matiti, ampige miti.....mamaeee tumefika huku, hii haifai kuruhusiwa.
Diamond mlimzuia kwa wivu wenu kwake ila wimbo wake haukua na mazito kama huu.
 
bila shaka mnakumbuka tukio la baraza la sanaa nchini tanzania(basata) kufungia wimbo wa nyegezi ulioimbwa na mwanamziki rayvanny ft diamond platnumz.

basata imewapiga marufuku diamond platnumz na rayvanny kutoimba wimbo wa nyegezi mahali popote pale wanapo tumbuiza kutokana mashahiri yake kutozingatia maadili.

baada ya siku chache, mamlaka ya kenya inayohusika na ku control maudhui ya kazi za sanaa ikatoa tamko la kuutambua wimbo huo na kudai kwamba mashahiri yake hayana shida yoyote.

kwa maana hiyo diamond platnumz na rayvanny wapo huru kuuimba kwenye majukwaa ya kenya kama walivofanya hivi karibuni kwenye tamasha lao sikukuu za mwisho wa mwaka.

jana mwanamziki wa kenya khaligraph jones ambaye binafsi huwa nakubali sana ngoma zake, alipost video fupi kwenye ukurasa wake wa instagram ikimuonyesha akimuimbia mtangazaji wa tv betty kyallo mashairi ya wimbo wake wa "nataka kukupiga miti".

wakenya walewale waliodai wimbo wa nyegezi hauna shida yoyote, wame react kwa hasira kumlaumu khaligraph jones kwamba mashahiri ya wimbo wake wa "nataka kukupiga miti" hayana maadili.
kwa kweli huu ni unafiki wa hali ya juu sana.

tafadhali wakenya, mwacheni khaligraph jones afanye kazi yake. mkiendelea kumsumbua, tutamshawi ahamie tanzania.
huwa hatushwindwi kitu.

na kwa kuonyesha jeuri, tutamkabidhi 100 hectares of land for free ili afanye investment yoyote ile atakayojisikia.

tunajua moja ya kero kubwa miongoni mwa wakenya ni ukosefu wa ardhi kutokana na ardhi kubwa kunyakuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara wachache.
View attachment 991903View attachment 991904

heading English alafu unatuambia story refu ya ufala na Kiswali..kama hujui kingereza cheza chini kaka blaza
 
dunno what the fuss is all about here but one thing for sure, Khaligraph hakushurutishwa na tawi lolote la serikali nchini Kenya (KFCB) kama ilivyokuwa Tz (BASATA) kuuondoa wimbo huo kwenye IG yake au hata platform yoyote. he just experienced the fans wrath.
Yenyewe lakini those lyrics are so PG rated na hakuna radio station inayoweza kuucheza huo wimbo nchini Kenya.
makosa ya pili ni huyo bi dada ku-blush na kuonekana kupendezwa na hayo matamshi machafu ya huo wimbo ilhali yeye ni public figure, na mama na pia ni role model kwa watoto wengi wa kike.
 
At least diamond katumia tafsida hiyo khalograph kaimba uhuni hiyo ni street song haitakiwi kusikilizwa on the media
 
Back
Top Bottom