Kenyan steel firm earns Sh400m from SGR supplies

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
STEEL.jpg

A standard gauge railway overpass under construction at Taru next to the Nairobi-Mombasa Highway. PHOTO | KEVIN ODIT

By BRIAN NGUGI, bnjoroge@ke.nationmedia.com

Posted Tuesday, December 6 2016 at 19:41
IN SUMMARY

  • Mandatory quota for Kenyan suppliers has boosted Tononoka Steel's fortunes.

Kenyan manufacturer Tononoka Steel says it has earned Sh400 million from the supply of metal to the standard gauge railway project.
Kenyan steel firm earns Sh400m from SGR supplies
 
The whole of that goes back to the Economy??? "Hehehee... I love Kenya
 
Bado ni hela kidogo sana hizo. Maendeleo ya kweli Afrika yatakuja kama tukianzisha makampuni yetu makubwa kufanya miradi ya ujenzi.
Tunajidanganya kwa miundombinu kama hii lakini karibia pesa zote zinaenda nje ya Afrika. Huwezi kudai tunaendelea kwa kukopa China na kujenga miundombinu wakati pesa zote zinarudi kwao.
 
ok
 
Wewe kinachokuuma nini, hizo unazoziita kidogo ambazo ni KSh400 milioni, kwetu sisi hatuzichukulii kwa dharau. Ni fahari kuona kampuni ya Kikenya inapiga hela hivyo kwenye mradi wa ndani. Nyie huko kwa wivu wenu mnatamausha wawekezaji kama akina Dangote, kuwaburuza buruza ovyo.

Reli itafika Kigali.... Tena tunaijenga ya kutumia umeme.
 
Kakojoe ukalale, Dangote ameingiaje hapa? Kukukumbusha tu, Tanzania ina mtandao mkubwa wa reli kuliko Kenya .

14 Chinese rail workers nursing injuries after attack

The more than 200 club- and sword-wielding youth descended on the workers, chanting and shouting.

Local youth have been demanding a share of the standard gauge railway construction jobs in the area.

Recently, more than 300 youth protested against a Chinese contractor at the Duka Moja trading centre demanding jobs but police dispersed them after they attempted to block the road.
 
Sasa matukio kama hayo yanakufanya upate orgasm, hilo ni la kawaida maana wazawa wanafaa kujua faida zao kwenye raslimali au ujenzi wa hivi. Na mambo kama haya yalitendeka hata kwenu Mtwara wakati gesi inagunduliwa, wana Mtwara walizua timbwili mkawapiga mikwara hadi wakaachia.

Leo hii Dangote amekwenda kuwekeza kwao mnamzingua.
 
Kakojoe ukalale, Dangote ameingiaje hapa? Kukukumbusha tu, Tanzania ina mtandao mkubwa wa reli kuliko Kenya .

14 Chinese rail workers nursing injuries after attack

The more than 200 club- and sword-wielding youth descended on the workers, chanting and shouting.

Local youth have been demanding a share of the standard gauge railway construction jobs in the area.

Recently, more than 300 youth protested against a Chinese contractor at the Duka Moja trading centre demanding jobs but police dispersed them after they attempted to block the road.

mtwara.jpg

Tehehehee
 
Back
Top Bottom