Kenyan state 'sponsored violence'

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
802
Kenyan state 'sponsored violence'

BBC News, Nairobi

The BBC has learnt of allegations of state-sanctioned violence in Kenya during the recent post-poll crisis.

Sources allege that meetings were hosted at the official residence of the president between the banned Mungiki militia and senior government figures.

The aim was to hire them as a defence force in the Rift Valley to protect the president's Kikuyu community.

The government has declined to respond to the allegations which are likely to be investigated by a new commission.

There is growing anxiety that violence has been organised by both sides of the political divide.

The allegations come as parliament is due to open on Thursday preparing the way for a new coalition government.

Although parliament's focus will be on healing ethnic divisions and creating a coalition government - allegations of state involvement with a banned Kikuyu militia known as Mungiki will not go ignored.

Not least because of growing suspicion that some of the violence that led to 1,500 people being killed and hundreds of thousands displaced was orchestrated by both sides of the political divide.

The BBC has learnt that meetings were allegedly hosted at State House between senior government figures and the Mungiki, before and immediately after the elections.

One of the meetings was ahead of some of the most terrifying clashes in the town of Nakuru which saw non-Kikuyu homes being targeted by youths wielding machetes.

Sources inside the Mungiki say it was a renegade branch of the outfit that was involved in the violence not them.

Police sources have told the BBC that in the hours leading up to the clashes they had orders to allow minibus taxis packed with armed men, to be waved through police checkpoints without being searched.

The Kenyan government has declined to respond to the allegations which are likely to be among the themes investigated by a commission created to address the issue of post-election skirmishes.

Source: BBC
 
Sasa What next to disband Munguki?

Mzalendohalisi,

heshima yako ndugu.
They cannot disband Mungiki just like that maana ina-support ya
matasha wa kishua.Kisha it is the Kikuyu's bargaining weapon against the Kalenjin Rift Valley Warriors.La kuchekesha ni kua during the post election violence...kile kikundi cha mwera kilichoundwa maksudi kukabiliana na Mungiki kilikua disbanded
kukuonyesha kua serikali was not interested in finishing the menace but to use it against Kenyans....kemu fikiria hawa jamaa
wanaua watu na kuwachuna ngozi,wanakata vichwa na kuvitia kwenye
vizingiti...hawa watu gani aisee!!??

Cheki hii link bro: http://www.eastafricayote.com/showthread.php?t=111
 
Keil ndugu yangu,

Je unaona hio sehemu inayosema Govt has refused to respond to
allegations.
..?Jaza mwenyewe!
 
Mzalendohalisi,

heshima yako ndugu.
They cannot disband Mungiki just like that maana ina-support ya
matasha wa kishua.Kisha it is the Kikuyu's bargaining weapon against the Kalenjin Rift Valley Warriors.La kuchekesha ni kua during the post election violence...kile kikundi cha mwera kilichoundwa maksudi kukabiliana na Mungiki kilikua disbanded
kukuonyesha kua serikali was not interested in finishing the menace but to use it against Kenyans....kemu fikiria hawa jamaa
wanaua watu na kuwachuna ngozi,wanakata vichwa na kuvitia kwenye
vizingiti...hawa watu gani aisee!!??

Cheki hii link bro: http://www.eastafricayote.com/showthread.php?t=111

Ab-Titchaz,

Aisee nimmeangalia.. it seems the situation is out of control..it will take long time to reconcile...na nadhali ni kazi ya political class. Yaani watu wanatembea kwa mapanga mchana kweupe mzee!

Bado iko kazi!
 
nd'o tatizo la Kenya hilo.Those gangs u see weilding
machetes wanapigwa tafu na watu kama kina Uhuru Kenyatta
(the son of the first president-Kikuyu)na Michuki. Sasa wewe
nambie kama kunahaki hapo?...a'fu jamaa mwenyewe uko serikalini.
This gang has been running lose for a very long time yet it is
very easy to do away with it.Chambelecho waswahili..."jamaa wanafuga nyoka eti".
 
Hii stori ni ya kweli, nimesikiliza kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC, Solomon Mugera amembana Isaiah Kabira kwa maswali ambayo hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendelea kusisitiza kwamba hakuna mkutano uliofanyika Ikulu.

Michuki na Prof. Saitoti waliandikiwa barua ili watoe ufafanuzi juu ya swala hilo lakini hawakujibu. Pia walipigiwa simu na bado hawakutaka kujibu.

Kabira mwanzo alianza kutetea kwamba inawezekana barua hazikufika na pia Michuki alihamishwa wizara kutoka Usalama kwenda Wizara ya Ujenzi na Barabara na hivyo inawezekana hakupata barua. Swali gumu likawa ni, je, kama barua hawakuzipata simu je? Hilo ndiyo lilikuwa swali gumu kiasi kwamba Kabira akasema kwamba hayo yeye hayajui! Alikuwa anajibu swala la Mungiki kufanya mkutano Ikulu, na kwamba hawakufanya. Uchunguzi wa kina ukifanyika kuna mengi sana. Hapo ndipo ninaponusa harufu ya Michuki kwenye hilo dili la Mungiki. Je, Kibaki atamtosa?
 
Well hawa BBC nao!

Kwani sasa wakati hali ya amani ndiyo imeanza kurejea Kenya? Hali kama hii may spark violence... mimi ningekuwa BBC ningeangalia kwanza kwanza.. habari kaama hizi mimi sijazipenda!

Well we wait and see!
 
The reason these issues are coming up ni kwa
sababu kutakua na ile Truth and Reconciliation
Committee ambayo itakua na jukumu la kuangalia
vyanzo vya hizi clashes.It is common knowledge
that crooks within the Govt support and fund Mungiki.
Hali hii ili-exist even before the elections.
Watu walikua wanashangaa mbona serikali hai-deal
na hawa watu once and for all?In that regard,
other communities started forming their own vigilante
groups to protect themselves against this menace.Nd'o
maana unasikia sijui kuna kundi linaitwa 'Baghdad Boys'
na kuna lengine linaitwa 'Jeshi la Mzee' but
non of these have risen to the level of Mungiki.
Pia kulikua na tetesi kwamba hawa jamaa za Mungiki
walikua wanapewa uniform za askari na kuenda kuua
wafuasi wa upinzani. Kulikua kunafanywa recruitment
za kish'kaji na hawa mabwana wakawa wanaingizwa kwenye
jeshi la polisi na ile kitu inaitwa National Youth
Service.La kuchekesha ni kua juzi baada ya mkataba
kusahihishwa vijana kama 5,000 were summarily removed
from the recruitment registers.Ukitazama kwa undani
kabisa unakuta hawa waliofukuzwa wote wanatoka
katika kabila moja.Why were they sent home just like that?

While on this subject, cheki walivyofanya jana jijini
Nairobi mbele za uma na hawakufanywa lolote...ijapokua
wanajulikana kua ni Mungiki hawa na mauaji yao.Hii hapa link:

http://eastafricayote.com/showthread.php?t=782

Kwa ufupi, the Govt has to deal with this menace decisively
ama we can accuse them of complacency.

P.S. Je unamjua jamaa Prof f'lani kwa jina Ngugi wa Thiongo?
 
Mimi sina neno na ukweli wa hii habari.. ila appropriateness to deliver the message now! What is the motive? Kwani ilikuwa na uharaka gani? Kwa nini BBC wasisubiri Truth and Rec. Commission iundwe na ianza kazi ndo wapeleke malalamiko huko?

Mimi naona kama kna jambo BBC sijawaelewa!
 
Hii stori ni ya kweli, nimesikiliza kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC, Solomon Mugera amembana Isaiah Kabira kwa maswali ambayo hakuweza kuyajibu zaidi ya kuendelea kusisitiza kwamba hakuna mkutano uliofanyika Ikulu.

Michuki na Prof. Saitoti waliandikiwa barua ili watoe ufafanuzi juu ya swala hilo lakini hawakujibu. Pia walipigiwa simu na bado hawakutaka kujibu.

Kabira mwanzo alianza kutetea kwamba inawezekana barua hazikufika na pia Michuki alihamishwa wizara kutoka Usalama kwenda Wizara ya Ujenzi na Barabara na hivyo inawezekana hakupata barua. Swali gumu likawa ni, je, kama barua hawakuzipata simu je? Hilo ndiyo lilikuwa swali gumu kiasi kwamba Kabira akasema kwamba hayo yeye hayajui! Alikuwa anajibu swala la Mungiki kufanya mkutano Ikulu, na kwamba hawakufanya. Uchunguzi wa kina ukifanyika kuna mengi sana. Hapo ndipo ninaponusa harufu ya Michuki kwenye hilo dili la Mungiki. Je, Kibaki atamtosa?

Very good summary, nilsikiliza pia mahojiano hayo aloo! sikuweza kuamini!
 
Mimi sina neno na ukweli wa hii habari.. ila appropriateness to deliver the message now! What is the motive? Kwani ilikuwa na uharaka gani? Kwa nini BBC wasisubiri Truth and Rec. Commission iundwe na ianza kazi ndo wapeleke malalamiko huko?

Mimi naona kama kna jambo BBC sijawaelewa!

Nakupata unachosema maana timing kidogo inaleta mushkil.
Kumbuka pia hawa waingereza wana-soo na serikali ya Kibaki
since the days of ule Balozi Clay ambaye aliwaambia ni wafisadi wakipundikia,wanaiba na kula hela za donors kisha wanatapikia viatu va donors.The day that statement was made is when daggers were drawn.The British govt stood by their embassy na baada ya m'da kidogo yule Githongo akabanja ile skendo ya Anglo-Leasing.
Kisha baada ya hizi kura, yule mama Martha Karua alikua kwenye runinga akipaka choo ovyo!Kisha akamuambia Clay mbele za watu eti he is perona non grata kule Kenya.Ukijua maana ya diplomatic protocol, you dont make such statements carelessly.Kwa hivyo najua wamechoka na Kibaki and every opportune moment they get to stir the hornets nest they will do it.
 
Mimi sina neno na ukweli wa hii habari.. ila appropriateness to deliver the message now! What is the motive? Kwani ilikuwa na uharaka gani? Kwa nini BBC wasisubiri Truth and Rec. Commission iundwe na ianza kazi ndo wapeleke malalamiko huko?

Mimi naona kama kna jambo BBC sijawaelewa!

Unajua wenzetu wana interest na ukweli tu ndugu yangu. Kwa sababu jana nilivyomsikiliza Alfred Mtua akihojiwa kwenye BBC Newsweek, ni wazi kuwa hawa akina Kibaki hawana moral authority ya kuwa hapo walipo.

Sasa wewe fikiria hawa BBC na other international news channels, kama waliweza kumlipua Tony Blair na George Bush kwamba wali-cook zile taarifa za kuwepo WMD kule Iraq tena katikati ya vitu, unadhani wangekaa kimya kwa hili? Hii habari ya funika kombe mwanaharamu apite ndio inawafanya viongozi wetu wa Africa wawe vile walivyo. Hawaogopi kufanya ujinga kwa sababu wanajua kuna watu kama wewe na mimi watawafichia ujinga wao kwa sababu za usalama, etc. Sasa inabidi tubadilike, tuwe tayari kufichua ufedhuli wao bila kutoa visingizio vya kuficha.

Binafsi kwa kweli sioni motive yeyote sinister katika hii habari ya BBC, ni swala tu la kuweka mambo sawa maana tuliambiwa kwamba hawa vijana waliua kwa sababu ya jazba na ukabila, sasa kumbe kuna watu kabisa walipanga mikakati tena ndani ya nyumba inayopaswa kuwa mlinzi wa maisha ya watu. Yaani ndugu hili halikushtui kabisa, kwamba nyumba inayopaswa kutumika kupanga mipango na mikakati ya kulinda na kuendeleza maisha ya watu kuwa bora zaidi, ilitumika kupanga kuyamaliza maisha ya watu, hili unaliona sio kubwa bali kugawana madaraka ndio kubwa zaidi?

Mwisho nakuuliza tena ndugu yangu, kama hii habari ni kweli kwamba serikali haramu ya Kibaki ilipanga njama na kuwaandaa vijana wa kuwaua binadamu wenzao ili wahalalishe kubaki ikulu, huoni kwamba hili ni jambo la haraka zaidi kushughulikiwa kuliko hata hilo la kugawana madaraka leo huko bungeni?
 
nafikiri katika haya yote kuna jambo kati ya pande zote mbili na watu toka nje tu huwezi jua kirahisi,ila iko siku tu mbaya ataonekana hadharani,the Hague ipo jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom