MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,756
- 48,402
- Thread starter
- #41
Unampongeza kwa yeye kuwa na Phd au unampongeza yeye kuwa Korokoroni wa Elon Musk??.
Mimi nampongeza kuwa na Phd lakini ni mpumbavu kwenda kuitendea kinyume Phd yake (his abuse of his profession) --- kuwa korokoroni.
Wewe hufikiri huko US kuna Astrophycisists wazungu wangapi wenye Phd wanaoweza kushika nafasi hiyo ambayo Elon amewaacha na aje amchukue huyo Mkenya mweusi tii kuliko mimi??--- yawezekana Phd yake ni ya jalalani inayomfaa mtu awe korokoroni na sio Lacturer nk.
Wewe hauwezi kupongeza maana hata haujui nini kinazungumzwa kuhusu, umekurupuka kama kawaida yenu.