Kenyan oil among the best globally and could be priced higher than oil produced by some Arab states

So even you put stupid thread we keep quiet!? I just asked few questions your fellows, they failed to answer.

By the way if you want this information to be for kenyans only, is very simple, create kenyans WhatsApp group and share this infor. Not public like here. We are free to ask anything.

JF is not like JamiiForums.com where only kikuyus allowed.
If you answer my question with scientific evidences contains statistical data I will be your friend. But now your expressing rubbish.
Naah, yah salty mate. I know nothing about oil but when guys talk about its quality here, using the biggest newspaper in Kenya it aint wrong and does not warrant your salty opinions. Let em have it. What harm does it cause?/
 
That cargo disguised as a head probably imeenda reboot.
Due to aerodynamic inefficiency lazima atafute the " Sweet spot "
I hope he's down but not out ! I badly need such STENCH to quell my weird keyboard habits.
Hey Carcass, I command you to rise from the Crematorium and bring your pathetic ashes here!
RIGHT NOW!
( Hehehe am I alright people ? )
 
Hivi mahoteli yaliwacha kuwatoza Watanzania kila mnapokwenda kubarizi kwenye ufuoni, kule Dar. Maana nilishangaa sana tofauti na ilivyo Mombasa kwamba Wakenya wana ruhusa ya kuogelea kwenye fukwe za nchi yao, Watanzania lazima walipie kuanzia Tsh 10,000 kwenye beach zilizopo ndani ya ardhi ya nchi yao waliopewa na Mwalimu Nyerere.

Kuna kipindi NEMC walijaribu kuingilia NEMC yakataza hoteli kutoza fedha wananchi wanaobarizi 'beach'

HAHAHA!!! Una uhakika huu ni ukweli?? Kama ni ukweli basi hakuna binadamu munafiki hii dunia kama Mtanzania. Hawa jamaa their favorite jab kwa Wakenya ni kuwa nchi yetu inamilikiwa na Wazungu. Hivi kwa nchi yao wanatozwa na hao hao Wazungu kwenda beach? Wah!! Hii ni shida. Naona hii matusi ya Kenya kumilikiwa inakuanga defense mechanism sasa.
 
Hehehe did you follow that link NEMC yakataza hoteli kutoza fedha wananchi wanaobarizi 'beach'
Hawa jamaa wasiwe wanakudanganya, kwanza Dar yenyewe Wahindi na Waarabu ndio wenye mji, hawa huwa wameachiwa Manzense, Bondeni na mitaa yote ya kanyamba.
 
Hahaha! Wakiongea humu utadhani wao ndio wao. Kila kizuri Kenya wanasema mzungu kajenga. Heri sisi tunajikakamua jameni. Shamba la Delamere pekee ndio wanashindia wakiponda Kenya.
 
That cargo disguised as a head probably imeenda reboot.
Due to aerodynamic inefficiency lazima atafute the " Sweet spot "
I hope he's down but not out ! I badly need such STENCH to quell my weird keyboard habits.
Hey Carcass, I command you to rise from the Crematorium and bring your pathetic ashes here!
RIGHT NOW!
( Hehehe am I alright people ? )

Duh!
 
Mafuta yote hayalingani. Mafuta ya marekani(Brent crude) ndo yanayongoza kwa ubora. sifa zake ni kwamba yana sulphur kidogo (kitaalamu wanaita sweet oil) na ni mepesi (light). Hiyo inafanya procesing yake kuwa nafuu na hivyo sokoni yanauzwa bei kubwa zaidi. Yanayofuatia kwa ubora ni ya Europe, na mwisho ya Uarabuni. Mafuta ya Nigeria kwa mfano yanashindana na ya Europe, na ya Angola yana ubora wa kati. Tofauti hizi zinatokana na jinsi mafuta hayo yalivyojitengeneza miaka millioni iliyopita. So kama kenya wamegundua mafuta ambayo ni sweet and light, ni jambo jema kwao. Watauza kwa bei nzuri, japo reserves zilizogundulika hadi sasa sio kubwa sana. Tatizo kwa nchi zote za kiafrica ni matumizi ya fedha zinazopatikana. Nchi kama Nigeria kwa wingi wa mafuta waliokuwa nayo na kwa ubora wa mafuta hayo, walipaswa kuwa ni developed country. lakini bado tunaona raia wao wakizama baharini wakati wakikimbilia ulaya. Historia inaonesha kwamba pesa za mafuta zisipotumika vizuri, zinadumaza ubora wa maisha ya watu badala ya kuyakuza.
 
Back
Top Bottom