ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,040
Nadhani hapo uliponionesha, nilishapazungumzia. Mitaji ktk uwekezaji. Hilo ni jambo dogo, na tuikikata si tu italeta neg. impacts, kwa uwazi kabisa italeta positive effects kwetu. Kama hitaji hilo lipo, watz watalikava tu.Soma hapo ArD67
Kumbuka historia ya ujerumani chini ya Hitler, wayahudi walivyoondolewa, wajerumani waliukamata uchumi wao wenyewe. Hapa hamleti teknolojia, mngeleta hilo tungehofu.