Kenyan delegation on a learning tour at the East Africa's most modern airport, JNIA

umeingia thread za kisiasa! Ulikuwa unaponda viwanja vyetu sikiliza ur aviation officials waki-testify ubora wa facilities at our Airports! the guy is an architect!
 
umeingia thread za kisiasa! Ulikuwa unaponda viwanja vyetu sikiliza ur aviation officials waki-testify ubora wa facilities at our Airports!
 
Hahahaha, mumeanza kuisoma namba sio?, ile kauli ya JKIA is the biggest Airport imeishia wapi?
 
Naomba urudie kale kawimbo kazuri kanakosema "JKIA is the biggest Airport in East Africa", nimekakumbuka sana. Hahahaha, hahahaha.
 
Huyo jamaa

Acha ushamba wa kupotosha watu, huo ni mkutano ambao hua unazunguka nchi za EAC, next year utakuta uko Kigali baada ya hapo uende Entebe....alafu uje Nairobi...

Alafu huyo Martin Tairo ambaye Babayao255 anaweka tweet zake ni mfanyikazi wa Taita Taveta County ambayo ni county inapakana na Tz.... kusifia kwake kwa Terminal 3 ya TZ ni kwasababu alishuka hapo kwa Terminal mpya.... Kama angeshukishwa kwa terminal za kitambo hapo JNIA hangesema hayo...

Ni kama vile huku Kenya ukiwa we ni mgeni na utumia Terminal 1A pale JKIA utaisifia sana hio airport, lakini ukitumia zile Terminal za kitambo habari itakua ni tofauti
 
ata terminal II is being renovated! the guy is an architect na yupo na wenzie nita-post more videos! Na hata kama wako under EAC still haiondoi Ukenya wao!
 
Huyo jamaa

Acha ushamba wa kupotosha watu, huo ni mkutano ambao hua unazunguka nchi za EAC, next year utakuta uko Kigali baada ya hapo uende Entebe....alafu uje Nairobi...

Alafu huyo Martin Tairo ambaye Babayao255 anaweka tweet zake ni mfanyikazi wa Taita Taveta County ambayo ni county inapakana na Tz.... kusifia kwake kwa Terminal 3 ya TZ ni kwasababu alishuka hapo kwa Terminal mpya.... Kama angeshukishwa kwa terminal za kitambo hapo JNIA hangesema hayo...

Ni kama vile huku Kenya ukiwa we ni mgeni na utumia Terminal 1A pale JKIA utaisifia sana hio airport, lakini ukitumia zile Terminal za kitambo habari itakua ni tofauti
Kwahiyo unataka kusrmaje??
 
Kwa hiyo unataka kutuambia nini 😂😂😂
 
Back
Top Bottom