KENYA YATUMA NDEGE TRIPOLI .... KUOKOA WAAFRIKA WOTE! Bongo Air Tanzania iko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KENYA YATUMA NDEGE TRIPOLI .... KUOKOA WAAFRIKA WOTE! Bongo Air Tanzania iko wapi?

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mpasuajipu, Feb 25, 2011.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Source: BBC NEWS

  Kenya imetuma ndege kwenda Tripoli kuondosha raia wote wa Kiafrika walionasa Tripoli ambapo mapigano makali yanaendelea kuuteka mji wa Tripoli na kumkabili Gadhafi ambaye haijulikani kama bado yupo hapo au kazimika.

  Wakenya wako very "patriotic" nawasifu sana.

  wabongo kimyaaa kama tumenyeshewa mvua, angalia hata lile tukio la Maharamia wa Somalia kuitemka meli na watanzania wamo katika meli hiyo hadi leo, hakuna juhudi zozote zinazoendelea kuwanusuru ka kadhia hiyo!

  Kazi vicheko tu, teh teh " Usisikilize redio mbao" teh teh
   
 2. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Tanzania Embassy , Libya (linki) Ukibonyeza hiyo linki unakutana na hii habari:

  If you have any information about embassy of Tanzania that could be helpful to others, please use this form to post your comments. Any details related to the embassy or any other specifics about embassy of Tanzania that will help other people will be greatly appreciated.

  Kontakti zilizopo ni ubalozi uliopo Cairo. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa yeyote toka ubalozi huo kuhusu mipango ya kuwaokoa wabongo waliokwama.

  Wabongo waliopo Libya watakiona cha mtema kuni kilichomnyoa kanga manyoya ya shingoni!


  Aibuuu!!!

   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii si Tanzania iliyonilea...l

  ..lazima kuirudisha ile Tanzania yutu halisi...

  ... Tangulini Tanzania ikawa hawajali wanachi wake ...kiasi hiki!
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kusikia hata siku moja Tanzania kuwasaidia wananchi wake walioko nje. Kulipoanza kulipuka cheche za nguvu ya umma Tunis na Egypt niliwahi kusikia humu kuwa TZ ilikuwa inataka kuwaokoa raia wake kule? Ile ilishia wapi?

  Kama kuna yeyote ambaye anakumbuka tukio lolote lile ambapo Tanzania au balozi zake zimewahi kufanya kwa raia wake walioko nje, atueleze.
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Jamani kwani hamjui-hii nchi haina ndege ya kuweza kufika libya na kuwachukuwa hao raia.hizo nchi zinapeleka ndege zao huko-sisi hatuna cha kupeleka
   
 6. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna Gazeti moja la uwingereza...limenukuu ktk kwa baadhi ya watu wa libya kwamba baadhi ya wale wanajeshi wa kukodi ("african" marcenaries), wametoka Kenya, Ghana...na nchi nyengine za Africa!!! sasa sijui kama hilo linahusiana??
   
 7. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Tunayo JWTZ 1 inashinda pale T1. Jana tu imetua kutoka Côte d'Ivoire na Mauritania
   
 8. f

  furahi JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sisi tumepeleka Ungo...
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145

  The Air Tanzania fleet included the following aircraft (as of 4 November 2008)
  Boeing 737-200-ONE-Stored in Mwanza for repairs


  Bombardier Dash 8-300-TWO-Branded


  Source-Air Tanzania
  INAMAANA NCHI HII TUTEGEMEE NDEGE MOJA?
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  inawezekana wameplekwa kwa njia hii-ili kuficha mambo-
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mimi nimewahi kuona "wa kukodi" wausi ambao wameelezwa kuwa wanatoka Nigeria, ingwa hili sina hakika nalo. Nililo na hakika nalo, ni ushahidi toka kwa kijana mmoja wa Mauritania aliyenihakikishia kuwa wapo Wamaouritania wengi wa kukodi. Kuna tetesi kuwa wamepelekwa na raisi aliyepita ambaye ni rafiki mkubwa wa Hitler Ghaddaffi.
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0

  Pengine ya pili ni ile ya raisi (ikiwa bado ipo). Nchi hii bana, we wacha tu.
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  as long rais hawez ku-share ndege yake na civilian wa kawaida-ndo maana hili swala la kuwatoa watz waliopo libya hakuna kiongoz anaelizungumzia-KWELI KAZI TUNAYO
   
 14. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Kila kita Tanzania ni cha viongozi, kuanzia ulinzi, viongozi wa tanzania wanajipenda sana.
   
 15. Moderator

  Moderator Content Quality Controller Staff Member

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2006
  Messages: 479
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Eeeek? mbona hivyo mkubwa?
   
 16. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sounds very cynical, I do agree. But unfortunately that is the truth. So sad. Most, if not all, of our embassies abroad are not capable of rendering help to Tanzanians when faced with catastrophies of this magnitude. Ndio sababu nimesema wabongo walioko Libya watakiona kilichomnyoa kanga manyoya ya shingoni. Just stating the grim facts, as they are. Otherwise, I do feel as helpless as the brothers and sisters trapped in the ongoing mayhem that is taking place in Libya!!!
   
 17. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndege ya Rais ikawachukue,si kodi yetu au?:A S 13:
   
Loading...