Kenya yatia rekodi mpya kwenye ukusanyaji wa kodi na kufikisha KSh1.114 trillion

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,403
Hili kwa kweli ni jambo la kutia moyo maana likija kwenye suala la uzalendo, Wakenya tupo mbele, tatizo ni viongozi wanatuangusha tu. Hongera kwa kila mlipa kodi, japo KRA hawakufikisha malengo lakini kilichosalia kitakusanywa kwa mwezi mmoja uliobakia.

Kuna wadau humu ndani walibashiri kuipita Kenya ndani ya mwaka mmoja, sasa ikiwa makusanyo yetu ya kodi ni sawia na ukiunganisha na kujumuisha bajeti za nchi kadhaa EAC, hapo inakuakuaje........

----------------------------------------------------------------------------------------------------

Total tax collections in 11 months ended May 31 reached a record Sh1.114 trillion, official exchequer data shows, a growth of 12.77 per cent over Sh987.85 billion collected in the same period last year.

The Kenya Revenue Authority will, however, have to collect Sh153 billion this month to hit the revised full-year target of Sh1.267 trillion set by the National Treasury.

The taxman missed the Sh1.161 trillion target for 11 months on pro rata basis by 4.05 per cent, despite netting Sh124.06 billion in May since collections for the July-April period were Sh989.94 billion.

The Statement of Actual Revenue and Net Exchequer Issues, published by the Treasury CS Henry Rotich in the Kenya Gazette on Friday, shows that total government revenue between July 2016 and May 2017 hit Sh1.764 trillion.

That was a 9.98 per cent growth compared with Sh1.588 trillion a year ago.

The Treasury has a full-year revenue target of Sh2.054 trillion for 2016-17 – meaning the government will have to find some Sh290 billion this month to hit the target, having missed it by 6.27 per cent in 11 months ended May 31.

Tax collections accounted for 63.15 per cent of the total revenue generated by the government in the review period.
Non-tax income rose by 24.70 per cent year-on-year in the 11 months to Sh41.90 billion, but hugely under-performed a target of Sh95.61 billion on a pro-rated basis, given the full-year target of 104.30 billion.

Commercial loans to the government surpassed the revised Sh186.04 billion target for 12 months to stand at Sh186.30 billion in 11 months ended May 31 – Sh111.97 billion more than the Sh74.33 billion borrowed the year before. The target was revised upwards from Sh153.78 billion in the printed budgetary estimates.

“Following Kenya’s elevation to lower middle income economy status in September 2014, recourse to borrowing on commercial and semi-concessional terms has increased while that on concessional terms has declined,” the Central Bank of Kenya said in the quarterly Economic Review for October-December released on April 18.

Net domestic debt was Sh312.01 billion in the review period, 19.65 per cent shot of the Sh388.34 billion on a pro rata basis which reflects the decision by the CBK to reject “expensive” debt offers.

The full-year target from domestic borrowing is Sh423.65 billion.

Grants from the peacekeeping African Union Mission in Somalia rose by 21.44 per cent to Sh5.21 billion from Sh4.29 billion the year before. The Treasury targets Sh6.44 billion from Amisom by end of the month.

Other sources of revenue included loans from foreign governments and international organisations at Sh24.93 billion, 10.06 per cent more than Sh22.65 billion last year.

KRA nets a record Sh1.114tn in 11 months but misses target
 
Kama mnakusanya pesa nyingi hivyo kwa nini hata km 2 za barabara lazima mkope China? Lazima mna kasoro tu na mipango yenu mibovu ya kiuchumi.

Huyu nyangau mkenya naye hajui asemalo, zaidi ya 50% ya kodi yote hiyo inaenda kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali.

Tumia muda wako kaka kujielimisha kuhusu bajeti yetu, haina maana utoe tamko ambalo hujalifanyia uchunguzi wala utafiti, kwa taarifa yako barabara nyingi tumegharamia kwa hela zetu, jadili mada kitaalam, takwimu kwa takwimu.

Halafu kama jinsi tumejaribu kuwaelimisha, kwamba miradi ambayo ipo kwenye ratiba ni mingi kiasi ambapo lazima tukope, hamna nchi yoyote dunia hii isiyokua na mikopo. Juzi hapo kwenu mumeongeza mkopo kwenye kupanua bandari, huwa hamulioni likiwa kwenye macho yenu.
 
Leta takwimu za mishahara ya wafanyakazi wa serikali. Nigeria pia wana vituko kama vyenu, GDP yao kubwa, per capita kubwa lakini hawana jeuri ya kufanya hata miradi midogo kwa pesa zao wenyewe. Kama JPM angekuwa anapata kodi kubwa hivyo lazima angefanya maajabu.

"Let me break it down for you. Kenya’s current wage bill stands at 53 percent of the national budget and uses up 55 percent of the country’s revenue collection".

Kenya's wage bill dilemma

IMF raises red flag on Kenya’s rising wage bill

"President Uhuru Kenyatta’s government has since coming to power in 2013 struggled to contain the wage bill that takes 11 per cent of the gross domestic product (GDP) or 52 per cent of domestic revenues".

Treasury's memo freezes fresh civil service employment
 
Ukibadilisha kwa pesa ya. Madafu kibongobongo

Inamlisha magu na wananchi
Wake wote kwa mwaka mzma

Zaid ya mikoa 30
 
Leta takwimu za mishahara ya wafanyakazi wa serikali. Nigeria pia wana vituko kama vyenu, GDP yao kubwa, per capita kubwa lakini hawana jeuri ya kufanya hata miradi midogo kwa pesa zao wenyewe. Kama JPM angekuwa anapata kodi kubwa hivyo lazima angefanya maajabu.

"Let me break it down for you. Kenya’s current wage bill stands at 53 percent of the national budget and uses up 55 percent of the country’s revenue collection".

Kenya's wage bill dilemma

IMF raises red flag on Kenya’s rising wage bill

"President Uhuru Kenyatta’s government has since coming to power in 2013 struggled to contain the wage bill that takes 11 per cent of the gross domestic product (GDP) or 52 per cent of domestic revenues".

Treasury's memo freezes fresh civil service employment

So where in those articles is it indicated that Kenya can't fund even 2km of road constructions as you claimed earlier, spurting out news articles will not disprove the fact that you normally comment automatically without taking time to reflect.

For your information, Kenyan budget of 2016/2017, we allocated KES 117.6bn for ongoing road construction.
Be serious at times and engage professionally, kwaheri.
 
Kama mnakusanya pesa nyingi hivyo kwa nini hata km 2 za barabara lazima mkope China? Lazima mna kasoro tu na mipango yenu mibovu ya kiuchumi.

Huyu nyangau mkenya naye hajui asemalo, zaidi ya 50% ya kodi yote hiyo inaenda kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali.

Bro, yani uko cock sure that kila mradi ya maendeleo, hata kabarabara ya 2km inajengwa kwa pesa ya kukopa? Hebu kuwa serious na uache kuongea ujinga!
Ni wapi uliskia upuzi aina hii?

KURA na KRRA ni idara mbili chini ya wizara ya barabara yanayofadhiliwa na pesa za serikali ya Kenya, sio mikopo.

Mikopo Kenya imechukua kufadhili zile projects kubwa kubwa.

Kama una evidence kuhusu haya madai yako, yatoe. Lakini sio kukurupuka kipuzzi namna hii!
 
Kuna wale jamaa ikitajwa SGR hutiririka, waje huku Mwanzi1 kilam Cicero Toyota escudo et al
Sina tatizo na SGR iliyojengwa, concern yangu katika hilo ni kuhusu mradi kuwa harufu ya rushwa kubwa ndani yake, kitu ambacho wewe na baadhi ya wenzio hamtaki kukubali! Ni vyema kwa maeneo yanayoonekana dhahili kukubali kama sisi tunavyokiri kuwa kwenye sector ya madini tumeibiwa kweli kweli!

BTW, turudi kwenye hoja! Pamoja na kuwa mwenzio kasema kuwa kiasi hicho kinaweza kujenga SGR toka mombasa hadi Uganda, najua hata wewe unaamini kuwa kodi hiyo haiwezi na pengine haitakuja kutumika hata kidogo kutekeleza mradi huo!
 
Wala hakuna cha kushangilia hapa, lengo mliloliweka wenyewe mmeshidwa kulitimiza. Inaoneka the person who set the target alilewa na takwimu akasema watafikisha target ya KShs 2tri, labda biashara mlizo tarajia kuanza kuwalipa kodi zimeshindwa kufanya biashara.

Kitu ulichotakiwa ukitilie maanani ni mfumuko wa bei (inflation), bei zinaongezeka mwezi hadi mwezi, wananchi wa kawaida anaumizwa ukiliganisha kipato chao ni kidogo. Hata ukiwaongezea mshahara, ongezeko hilo litamezwa na mfumuko wa bei.
 
Sina tatizo na SGR iliyojengwa, concern yangu katika hilo ni kuhusu mradi kuwa harufu ya rushwa kubwa ndani yake, kitu ambacho wewe na baadhi ya wenzio hamtaki kukubali! Ni vyema kwa maeneo yanayoonekana dhahili kukubali kama sisi tunavyokiri kuwa kwenye sector ya madini tumeibiwa kweli kweli!

BTW, turudi kwenye hoja! Pamoja na kuwa mwenzio kasema kuwa kiasi hicho kinaweza kujenga SGR toka mombasa hadi Uganda, najua hata wewe unaamini kuwa kodi hiyo haiwezi na pengine haitakuja kutumika hata kidogo kutekeleza mradi huo!

Hebu naomba utiririke kitaalam na kudhihirisha kuwa SGR ina harufu ya rushwa na ufisadi. Tatizo nyie hukaririshwa kama kwaya kanisani.
 
Wala hakuna cha kushangilia hapa, lengo mliloliweka wenyewe mmeshidwa kulitimiza. Inaoneka the person who set the target alilewa na takwimu akasema watafikiaha target ya KShs 2tri, labda biashara mlizo tarajia kuanza kuwalipa kodi zimeshindwa kufanya biashara.

Kitu ulichotakiwa ukitilie maanani ni mfumuko wa bei (inflation), bei zinaongezeka mwezi hadi mwezi, wananchi wa kawaida anaumizwa ukiliganisha kipato chao ni kidogo. Hata ukiwaongezea mshahara, ongezeko hilo litamezwa na mfumuko wa bei.

Oya hii hapa ni ya miezi 11 hivyo bado mwezi mmoja tuliza.
 
Back
Top Bottom