Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,091
- 4,028
Nilikwambia kuwa kama unataka mtiririko huo wa rushwa unoge basi ufungulie uzi! Lakini naona hutaki unafungua nyuzi za kusifia tu nchi yako! Kufanya mjadala kama huo kwenye uzi mwingine ni kubaka maana ya uzi!Hebu naomba utiririke kitaalam na kudhihirisha kuwa SGR ina harufu ya rushwa na ufisadi. Tatizo nyie hukaririshwa kama kwaya kanisani.
Sisi kama tulitoa hizo shutuma, anzisha uzi utuite tuje tujadili kwa kina huko!