Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,179
- 7,330
Habari ilizoropotiwa jana na vyombo mbalimbali vya habari ni kwamba serikali ya Kenya imekiri uhaba wa chakula kwa wananchi wake katika kipindi hiki cha ukame.
Wamechukua hatua mbalimbali zikiwemo
1. Kutenga Ksh bilioni 9 (takribani Tsh bilioni 200) kununua chakula kwa ajili ya wahanga na kuwasaidia wafugaji waliopoteza mifugo
2. Serikali ikishirikiana na wataalamu nchini humo kuongeza juhudi za kupambana na athari za ukame zinazoongezeka kila mwaka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa