Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
#Kenya imepunguza tozo za uingizaji mafuta nchini humo kwa 50% ili kuwavutia wafanyabiashara kutoka nchi zisizo na bandari ambazo sasa wanatumia Bandari ya Dar. Tozo mpya itakuwa ni $30.89 (TZS 71,161) kwa lita 1,000, kutoka $60 (138,222) kwa kiasi hicho hicho cha mafuta.
Tozo hiyo inayokusudiwa kuchapishwa kwenye gazeti la serikali itapungua kufika $30.65 mwaka 2020, na $29.07 mwaka 2021.
Tozo hiyo inayokusudiwa kuchapishwa kwenye gazeti la serikali itapungua kufika $30.65 mwaka 2020, na $29.07 mwaka 2021.