Kenya yapiga marufuku ndege kutoka UK na kisitisha safari za KQ kwenda Uingereza ili kuiridhisha Tanzania

Naangalia BBC sasa hivi wakenya naona mnawambia IMF wasiwakopeshe hela sababu mna mzigo mkubwa wa madeni.

Ngojea MK254 aje na thread zake za kutunga.
 
Serikali ua Uhuru imefanya kitendo cha kishujaa sana Uk walitawala babu zenu waka wa baka bibi zenu, waka waua then leo.mje mpangiwe eti mchague nani. Wa kushirikiana nao na nani wa kutokushirikiana nao
 
Mliambiwa mchagua kati ya kufunga mpaka na Tanzania la sivyo muingizwe katika redlist, mkaogopa kufunga mpaka na Tanzania kwa kuogopa "tit for tat"

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza, mmewachukulia hatua ipi 'mabeberu' wa UK? Kwa kuwaeka kwenye red list yao na kuwapiga vita vya kiuchumi kama mungu mtu wenu alivopenda kusema? Read the signs of the times nigga, hizi sio zile enzi ulipokesha humu ukiruka ruka kisa Sylvia Mulinge amenyimwa vibali.

Walisema wazee wa ndemi na mathathi kwamba kilicho na mwanzo hakikosi mwisho. Soma haya maneno aliyoyatamka rais wako. "Vibali vya kazi vimekuwa janga, wanaosimamia vibali vya kazi wamejigeuza Miungu Watu , wamegeuza mradi, Mtu anawekeza mnalazimisha aweke Mtanzania, kila Mwekezaji ana haki ya kuweka Mtu anayemuamini yeye kwanini umlazimishe?, mtende haki”———Rais Samia Suluhu.
 
Kati ya Tanzania na UK, Kenya mumeamua kuachana na UK na kuja kupiga magoti kwa baba lao ukanda huu, kuanzia sasa kila tunalotaka hamuwezi kupinga.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

Back
Top Bottom