Kenya yaomba msaada wa USA kuchunguza mauaji ya Kenei, vipi kuhusu Jacob Juma na Msando?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Kinoti wants US detectives to join in Kenei killing probe : The Standard

My take: Serikali ya Kenya inahusika moja kwa moja na mauaji ya Msando na Jacob Juma, kwasababu mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyekamatwa na serikali imekataa katakata kuomba usaidizi toka nchi za nje pamoja na kwamba NASA walipendekeza kuwepo kwa vyombo huru toka nje ya nchi, iweje mauaji ya Kenei iwe ni tofauti na wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ipo busy kupigana na DP ruto..Hata akienda haja ndogo kwa ukuta ulioandikwa "usikojoe hapa" Wataita FBI na KGB kuhakikisha niyeye kikojozi😂😂😂
 
Back
Top Bottom