Kenya yanufaika pakubwa kutokana na uhamiaji wa nyumbu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,517
47,752
Wageni kwenye mahoteli wameongezeka hadi asilimia 90% kutokea asilimia 50%

Tented camps and lodges in the popular Maasai Mara National Reserve are enjoying surging business thanks to the wildebeest migration.

Wildlife enthusiasts from across the world have flocked to the Mara to catch a glimpse of the wildebeest migration named one of the new seven wonders of the world.

Karen Blixen Chief Executive Officer Ronald Mutie says bookings for game drives in the Mara were on the increase owing to the spectacle.

He said occupancy at Karen Blixen Camp in the Mara had jumped to 90 per cent this month up from 50 per cent last month.

He also attributed the boom of safari seekers to marketing campaigns done by Karen Blixen in UK, USA, Canada, Germany and Australia.

He said the establishment received visitors from Sweden, Norway, Belgium, United Kingdom, France, US, Germany and Australian markets.

“There are high hopes that tourism will perform better this year than last year following an increase of international tourist bookings from overseas markets,” he said.

Somak Safaris General Manager Paul Kurgat said guest numbers at the Ashnil Mara Camp were currently standing at 90 per cent compared to 40 per cent last month.

He added that the camp was already fully booked for August, adding that the facility will enjoy the swell in business up to September.

“We are delighted that our camp has visitors from the European markets of Germany, United Kingdom, Italy and Japan,” he said.

Mr Kurgat noted that aside from the overseas markets, Somak Safaris is targeting domestic and regional tourists.

“We are also marketing Kenya in southern Africa, west and north Africa for the country to get visitors from across the continent,” he said.

Africa, he added, was a lucrative market with many people who can afford to go on holidays.

SOAR IN ARRIVALS

Heritage Hotels Chief Executive Officer Mohamed Hersi, said the Mara Intrepids was busy following a rise in safari bookings.

He added that guest numbers at the camp were currently at over 80 per cent compared to 50 per cent last month.

At the Coast, hotels are expected to enjoy brisk business from August following the resumption of charter flights from some European countries to Mombasa.

Last week, a Polish airline - Small Planet - inaugurated direct flights from Warsaw to Mombasa boosting international tourist arrivals at Moi International Airport.

The chartered airline will operate one flight a week to Mombasa from July to October.

Additionally, German leisure airline Condor recently introduced direct flights from Munich to Mombasa bringing flights by the carrier to three per week, with two from Frankfurt to Mombasa.

Charter airlines from Italy are also expected to resume flights to Mombasa between this month and August, rekindling hope of tourism revival in resort towns of Malindi and Watamu in Kilifi County.

Last week, Tourism Cabinet Secretary Najib Balala said he expected international tourist arrivals this year to surpass the figures of 1.2 million last year.

Mr Balala observed that international tourist bookings for summer and winter were on the increase as holidaymakers were yearning to visit the country for both leisure and safari.

Businesses strike big from wildebeest migration
 
Hivi tukihamua kuweka electric fence kuzunguka mbuga zetu za wanyama na mpaka wa Kenya mnaweza kutufanya nini!

Hapa nafanya utani tu, ila nataka kuwakumbusheni majirani zetu kwamba Kenya inategemea sana Ungwana wa Tanzania kwa mambo mengi tu - tukihamua kufanya kweli mtakwama sana. NAKUMBUSHIA TU.
 
Huwezi kuwazuia na ukiwazuia utadisturb ikolojia vibaya sana.

Muhimu ni kuhakikisha tunaweka mikakati ya kisasa kuvutia Watalii kwetu.
 
Vivyo hivyo hio eletric fence yaweza pigwa na Kenya wakati nyumbu wameingia huko, ingawa hio ni upuzi mtupu.

Though it is an added advantage, tourism shouldn't just be safari or beach. Taifa kama ufaransa zina urban tourists wengi kuliko wa Kanda letu lote. Much more needs to be done
 
Hivi tukihamua kuweka electric fence kuzunguka mbuga zetu za wanyama na mpaka wa Kenya mnaweza kutufanya nini!

Hapa nafanya utani tu, ila nataka kuwakumbusheni majirani zetu kwamba Kenya inategemea sana Ungwana wa Tanzania kwa mambo mengi tu - tukihamua kufanya kweli mtakwama sana. NAKUMBUSHIA TU.

Hehehe! Nchi zote zinategemeana, nyie hapo ambao mnaagiza pipi, sindano, vichokonozi n.k. kutoka nje hamuna uwezo huo wa kufanya ubabe.

Juzi mumefanya ubabe kwa sukari ikakula kwenu. Mnafungia na kulazimika kuachia maana mpo bado sana.
 
Huwezi kuwazuia na ukiwazuia utadisturb ikolojia vibaya sana.

Muhimu ni kuhakikisha tunaweka mikakati ya kisasa kuvutia Watalii kwetu.

Mimi nilikuwa nafanya utani tu - ila na sisi kama Taifa kuna kitu tunapashwa kujifunza kutoka kwa wenzetu Wakenya, iwezekani kwamba wao wako aggresive katika kutangaza masuala ya utalii huko Ulaya, Mashariki ya mbali na the USA.

Binafsi nafikiri utalii nchini Kenya kuna kitu cha ziada wanacho kitegemea sio matangazo tu nacho ni Mahoteli ya mbugani na pwani wamiliki wao wengi ni wageni i.e Waitaliano, Waingereza, Wajerumani, Waisrael, familia ya Aga Khan and who knows labda na Wachina, hao wote ufanya booking/maandalizi yote ya safari and what have you huko huko ugenini - hicho ndicho kinacho endelea siyo kwamba Watanzania tumelala uzingizi - mbinu za ziada tu ndizo zinaitajika, sio tunatangaza CNN na MSNBC basi tunakaa tunabweteka eti mradi tunejitangaza kwenye MSM basi mambo yatajipa yenyewe!
 
Hehehe! Nchi zote zinategemeana, nyie hapo ambao mnaagiza pipi, sindano, vichokonozi n.k. kutoka nje hamuna uwezo huo wa kufanya ubabe.

Juzi mumefanya ubabe kwa sukari ikakula kwenu. Mnafungia na kulazimika kuachia maana mpo bado sana.

MK254, hivi umesahua miaka ya nyuma na nyinyi mliwahi kupitia wakati ngumu katika masuala ya Sukari uzalishaji wa kiwanda cha Mumiasi na vingine ulikuwa hatoshelezi, hivyo uwezi kusema tatizo la Sukari lipo confined kwetu tu - hayo ni mambo ya kupita - what counts ni kujipanga na ku address tatizo kikamirifu ili lisijirudie tena siku za usoni.

Linapo kuja suala la viwanda nchini mwenu asili mia kubwa sana ni mali ya Waingereza - tangu ukoloni (East Africa Industries) Waswahili gani wa nchini Kenya waliwahi kujenga na kumiliki viwanda vya maana - sana sana mnajiriwa kwenye viwanda vya Waigereza basi - wamiliki alisi wako Ulaya wanakula kuku kwa mrija - wewe unakuja kutuzuga hapa na viwanda vya backyard vya waswahili vya kusindika maziwa, juice na kuhunda cylinder za cooking gas.
 
Hivi tukihamua kuweka electric fence kuzunguka mbuga zetu za wanyama na mpaka wa Kenya mnaweza kutufanya nini!

Hapa nafanya utani tu, ila nataka kuwakumbusheni majirani zetu kwamba Kenya inategemea sana Ungwana wa Tanzania kwa mambo mengi tu - tukihamua kufanya kweli mtakwama sana. NAKUMBUSHIA TU.
lakini hii mbuga dunia nzima haiwezi kuwaruhusu kuzuia njia ya hao nyumbu hapo mtanoa
 
Linapo kuja suala la viwanda nchini mwenu asili mia kubwa sana ni mali ya Waingereza - tangu ukoloni (East Africa Industries) Waswahili gani wa nchini Kenya waliwahi kujenga na kumiliki viwanda vya maana - sana sana mnajiriwa kwenye viwanda vya Waigereza basi - wamiliki alisi wako Ulaya wanakula kuku kwa mrija - wewe unakuja kutuzuga hapa na viwanda vya backyard vya waswahili vya kusindika maziwa, juice na kuhunda cylinder za cooking gas.
Usidhani mambo yapo kote yalivyo kwenu. Wakati wa Waingereza ulipita kitambo huku, sijui huko kukoje. Sekta zote wakuu ni wakenya. BIDCO (ya moi na biwot) yashikilia edible oils, ketepa ya wakulima wa kericho yashikilia Chai, kampuni zote za miwa ni za wakenya, sana sana waluhya na wajaluo, kampuni ya mikate ni ya shareholders wakenya kama yote, na hio ni chakula tu. Ipo dumu zas na mabati rolling mills kwa chuma, bamburi na EA Portland cement kwa simiti, ipo... Nishachoka kutaja. Google to get more
 
Oh nyumbus zaidi ya "muswahili" hawaheshimu mipaka ya mukoloni. Shikamoo nyumbu popote mlipo EA.
 
MK254, hivi umesahua miaka ya nyuma na nyinyi mliwahi kupitia wakati ngumu katika masuala ya Sukari uzalishaji wa kiwanda cha Mumiasi na vingine ulikuwa hatoshelezi, hivyo uwezi kusema tatizo la Sukari lipo confined kwetu tu - hayo ni mambo ya kupita - what counts ni kujipanga na ku address tatizo kikamirifu ili lisijirudie tena siku za usoni.

Linapo kuja suala la viwanda nchini mwenu asili mia kubwa sana ni mali ya Waingereza - tangu ukoloni (East Africa Industries) Waswahili gani wa nchini Kenya waliwahi kujenga na kumiliki viwanda vya maana - sana sana mnajiriwa kwenye viwanda vya Waigereza basi - wamiliki alisi wako Ulaya wanakula kuku kwa mrija - wewe unakuja kutuzuga hapa na viwanda vya backyard vya waswahili vya kusindika maziwa, juice na kuhunda cylinder za cooking gas.

Dah! Yaani yale yale mlikaririshwa na Nyerere hadi leo hayajawatoka, eti kwamba viwanda Kenya ni vya wazungu. Wakati ule mngeeleweka maana mlikua hamna elimu, lakini nashangaa na hata leo bado mpo na hayo mawazo. Hata pamoja na utandawazi bado huo msimamo haujawatoka, leo hii benki kubwa Kenya ni Equity na KCB, benki za weusi.

Benki ya Equity ambayo imetawala Kenya hadi Afrika Mashariki na kati alianzisha Mkenya mweusi kule kijijini, mifano ipo mingi tu ya jinsi Wakenya wameanzisha mambo yao na kutawala.

Halafu hilo la sukari, uhaba wake Kenya ulisababishwa na mambo ya kawaida yasiyo yakujitakia, ila kwenu imewakumba kwa ajili ya maamuzi ya kibabe eti mnafungia uagizaji ili viwanda vya ndani vizalishe, wakati viwanda vyenyewe ni hadithi za alinacha.
 
Usidhani mambo yapo kote yalivyo kwenu. Wakati wa Waingereza ulipita kitambo huku, sijui huko kukoje. Sekta zote wakuu ni wakenya. BIDCO (ya moi na biwot) yashikilia edible oils, ketepa ya wakulima wa kericho yashikilia Chai, kampuni zote za miwa ni za wakenya, sana sana waluhya na wajaluo, kampuni ya mikate ni ya shareholders wakenya kama yote, na hio ni chakula tu. Ipo dumu zas na mabati rolling mills kwa chuma, bamburi na EA Portland cement kwa simiti, ipo... Nishachoka kutaja. Google to get more

Livale, hayo unayo yataja mbona nayajua vizuri hata hapa kwetu viwanda vya kuprocess edible oil, Portland Cement, nondo, chai nk vipo.

Hoja zangu zilikuwa geared kumchemsha MK254 kwa kuwa is an intelligent man alijua vizuri nazungumzia viwanda gani nilipo mbana left, right and at the center kwa hoja - ndio maana akabuni njia ya kujinasua kwa kimbilia kutaja Benki za wazawa wa Kenya, nakubali Benki hizo ni mfano wa kuigwa ndani ya Bara la Africa - hata huku Tanzania Benki hizo zinafanya kazi kwa mafanikio makubwa sana.

Tuwe wakweli hapa linapokuja suala la watu weusi kujenga viwanda vya maana na kuviendesha kwa ufanisi hiyo kwangu naona itatuchukua muda sana kifikia kiwango hicho - sikatai wapo, lakini ni wachache sana.
 
Ooh, nilidhani wanena tu kubugudhi wakenya na kuipa macho pazia pindi yanayoendelea Kenya kiuchumi huwekwa peupe, jinsi watu kadhaa hufanya hapa.

Samahani kwa kuingilia hoja kwa vishindo bila ya kufuatilia kwa umakini zungumzo kati yako na MK254. Ni kweli viwanda hatujavikitisha mizizi weusi jinsi tuseme wazungu na Asians walivyo fanya, lakini juhudi zishaanza na vingi tushaanza kujitolea wenyewe barani Afrika.
 
Mkuu, nilikuwa nawatania tu atuwezi kufanya ujinga kama huo.

Mlivyo na bongo nusu nusu vile siyo ajabu mkajaribu!....lakini mkijaribu upuzi kama huo tunaupiga tu ukuta huo kwa makombora wanyama wanapita kwa raha zao...vile vile dunia itakua upande wetu kisa tunalinda haki za wanyama..hahahah!:D:D:D
 
Usinichekeshe, wezi wa mifungo wa kabila la Waturukana bila kusahau
Al-Something wanapekeka jeshi lenu puta - leo hii ndio muwe na ubavu wa kujaribu kubomoa ukuta - hamjipendi nini? Jeshi letu kitu kingine kabisa we omba kulisikia kwenye Radio na TV sio kwenye real World mkijaribu mtajuta kuzaliwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom