Kenya yamteua Naomi Campbell kuwa balozi wao wa utalii duniani, wawapuuza Lupita na Kepchoge

I don't see anything wrong with it, as long as she gets the job done! That's fine by me, after all even Tanzania appointed sho madjozi as brand ambassador.
 
Acheni upumbavu wa kukuza vitu visivyokuwa na tija. Eliud Kipchoge tayari ni 'Destination Ambassador' wa Magical Kenya tangia mapema mwaka uliopita. Majukumu yake ni pamoja na kukuza brand Magical Kenya nchini, ndani ya ukanda huu, barani Afrika na kimataifa pia. >>> Eliud Kipchoge unveiled as Kenya’s tourism ambassador Naomi Campbell amepewa jukumu la ubalozi wa Magical Kenya kimataifa. Hata mlazimishe kwa nguvu zote hamna hizo akili za kutupangia. Nyie mkitaka kumteua Kingwendu sawa, hatuna huo muda wa umbea umbea .
 
Hivi mnajisikiaje kuwakilishwa na mtu ambaye sio raia wa nchi yenu wakati mnaye raia ambaye ni International figure kama Lupita?, nani aliyekuambia kwamba Eliud Kipchoge hawezi kuwa balozi wa utalii wa ndani na International kwa pamoja?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa, kwani Kipchoge sio balozi wa utalii wa ndani, ukanda huu na kimataifa pia? Tatizo lako ni lipi haswa? Ni kwamba ulidrop out ukiwa darasa la tatu au? Maanake ukisoma comment yangu utaona nimeeleza kuhusu suala hilo tena kwa lugha simpo sana. Tena zaidi ya yote kuna hadi link ya taarifa hapo ambayo inaeleza wazi kwamba hayo ndio majukumu ya Kipchoge kama balozi. NairobiWalker jionee mwenyewe, sio kwamba wanaigiza. These niggas be dumb as rocks!
 
Wewe huna uwezo wa kufikiria kama kawaida ya wakenya mlivyo, tatizo ni kwanini mnatumia watu wa nje wakati kuna wakenya kibao wenye uwezo wa kufanya hiyo kazi, wewe umekazania Kepchoge wakati nimemtaja Lupita ambaye kwa sasa yupo juu sawa na huyo bibi Naomi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
MY TAKE: Taifa lisilothamini na kuwaamini watu wake ni "Failed state".

Tanzania: SA Actress Appointed Tz Tourism Ambassador...​

nyani na kudule lake.....upuuzi ulioje..huyu ni mtanzania.

1611586128921.png

29 DECEMBER 2020
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By James Kamala
THE famous and fastest upcoming South African rapper, music composer and actress, Maya Wegerif has agreed to be a goodwill Tanzania tourism sector ambassador.
She promised to use her artistic work and stage performance to popularise the country's attraction in her home country, South Africa and beyond.
 
Kwa akili tu ya kawaida watalii wenye faida ni kutoka nje. Sisi tuliowatumia Steve Nyerere na Ebitoke hebu tuambie tumeongeza watalii kiasi gani?
My brother, never ever side with the enemy when we talk about family business- in Michael cerleone's voice.

Godfather
 
Back
Top Bottom