joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kenya quietly selling third Eurobond in Europe and the US to
Kenya quietly selling third Eurobond in Europe, US
www-theeastafrican-co-ke.cdn.ampproject.org
Majirani wetu habari za Leo?, hivi hii taarifa ya serikali yenu kuamua kwenda kukopa tena kimya kimya kwa njia ya kuuza hati fungate za Serikali (Euro bonds) ili kulipa mikopo ya nyuma mnaijua?.
Sasa kama mlikopa nyuma kwa ajili ya miradi ya maendeleo, kwanini hiyo miradi inashindwa kuzalisha pesa ya kulipa hiyo mikopo?, hii tabia ya kumkopa Peter ili kumlipa Paul ndio uchumi gani?