Kenya yakataa wanariadha wake kushiriki Kilimanjaro Marathon 2021 ikiwa ni tahadhari dhidi ya Covid-19

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,682
22,685
IMG-20210224-WA0008.jpg


========

Kenya bans runners from Tanzania’s marathon

Athletics body urged athletes not to travel to Tanzania for 2021 Kilimanjaro Marathon because of coronavirus concerns
Kenyan athletes will not attend a major marathon in Tanzania because of concerns about the coronavirus, Kenya's athletics body said Wednesday.

Three days before the event that is expected to host more than 9,000 runners from across the world, Athletics Kenya (AK) said in a statement that it informed “our athletes that due to the global outbreak and spread of COVID-19, Athletics Kenya will not be issuing authorization for athletes' participation at the 2021 Kilimanjaro Marathon to be held in Tanzania on 28th February 2020.”

AK warned athletes “not to travel to Tanzania for the event.”

Organizers in Tanzania set up preventive measures for the race.

“We would like to appeal to our runners to please take the necessary precautions in terms of socially distancing norms and to wear the approved Personal Protective Equipment/Masks when starting, participating and finishing in their respective events,” the marathon said in a statement.

“We will be ‘seeding' runners based on their honest input of their running times to allow for a staggered socially distanced start in all 3 races, so we appeal to all participants to indicate clearly on their entry application which seeding batch they would be most suitable for -- elite/fast/medium/slow,” it said in explaining how social distancing will be achieved.

But nations across the world are not convinced by the measures as the East African nation is among a few countries not to share publicly coronavirus infections.

Tanzania's President John Magufuli previously urged citizens not to observe internationally-recognized measures to curb the spread of the disease.
 
Duh! Kwa vile hatuchukui tahadhari kama inavyotakiwa au nini kinaendelea hapa, wale jamaa wa misri waliokuja kucheza na Simba wao hawaogopi COVID ila hii nayo ni salamu mbaya kwa jumuia za Kimataifa, tusibeze.
 
Haya wanariadha watanzania nafasi hiyo ya kuonyesha kiwango mchukue zawadi zote za fedha maana kila mwaka wakenya wanaongoza......ila sitashangaa wanariadha binafsi kutoka Kenya wakaja maana hii mbio inajumuisha mataifa mengi na wengine kutoka mataifa ya mbali wamekuja...
 
aisee hiyo heading haliendani na uo waraka, umesema kinyume chake
Nakumbuka, kuna watu walikuwa wanajichanganya na kauli ambayo aliwahi kuitoa Mwalimu Nyerere.
Mwalimu alisema hivi-

"NITAONA HAYA, KUMUONEA HAYA, MVIVU, MZEMBE NA MZURULAJI!"
Sasa, wengi wakawa wakimkariri kwa kusema, 'SITAONA HAYA, KUMUONEA HAYA, MVIVU MZEMBE NA MZURULAJI! ' Inafanana na heading ya thread hii!
 
Japo kichwa cha uzi hakiendani na taarifa, ila muombe sana Wakenya wasije walau mfaulu kushindana wenyewe na kunyakua tuzo kwa mara ya kwanza tangu kuzinduliwa kwa hayo mashindano.

Huu mwaka nilikua tayari kuja na marafiki zangu tuhusike kwenye nusu marathon 21km, ila kwa hali ya sasa kila mtu abaki kwao na kuacha kiherehere.
 
Japo kichwa cha uzi hakiendani na taarifa, ila muombe sana Wakenya wasije walau mfaulu kushindana wenyewe na kunyakua tuzo kwa mara ya kwanza tangu kuzinduliwa kwa hayo mashindano.
Huu mwaka nilikua tayari kuja na marafiki zangu tuhusike kwenye nusu marathon 21km, ila kwa hali ya sasa kila mtu abaki kwao na kuacha kiherehere.
Wapo wanaokuja kibao, ww usisingizie chochote, huna hela
 
Back
Top Bottom