Kenya yakabiliwa na uhaba wa Kondomu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Vituo kadhaa vya afya vya umma, hoteli na mikahawa nchini Kenya vinakabiliwa na uhaba wa kondomu kutokana na mvutano wa ushuru kati ya wafadhili na serikali ya Kenya, Gazeti la Daily Nation linaripoti.

Mpango ambao hutoa kondomu za bure, sehemu muhimu ya kampeni ya Kenya ya kukabiliana na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwa( VVU), inategemea kabisa usaidizi wa wafadhili kununua bidhaa hizo.

Serikali ya Kenya husambaza bure karibu mipira milioni 180 kila mwaka kupitia mpango ambao unaofadhiliwa na Hazina ya Kimataifa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA)

Hata hivyo katika kipindi cha miezi mitatu iliyopiti, wagonjwa walio na virusi vya HIV katika makundi tofauti yamekuwa yakilalamikia uhaba wa kondomu nchini.

Mkurugenzi wa wakfu unaoshughulikia masuala ya UKIMWI (AIDS Healthcare Foundation) amenukuliwa na Gazeti la Nation akisema mwaka huu serikali haikununua kondomu na shehena inayosambazwa na wakfu huo kwa sasa iliwasili nchini 2019.

Credit: BBC
 
Mwaka ujao nataka kuja Tanzania kama sex tourist. Nitombe dada zenu vizuri na mihela ya Kenya.
 
Condom tuu matatizo....mbona sisikii wakilalamikia uhamaa wa majembe na mbolea...jamaa wanaendekeza ngono balaaa
 
Back
Top Bottom