joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kama ambavyo tafiti zimeitaja Kenya kuwa miongoni mwa nchi hatari duniani na kushika nafasi ya 7 duniani kote, hili limeendelea kudhihirika baada ya mwili wa mzungu tajiri aliyekuwa katika mzozo wa kutalikiana na mkewe toka kabila la Kikuyu kuokotwa porini.
Bwana Tob Cohen alikuwa ni miongoni mwa wazungu wanaomiliki uchumi wa Kenya na amewekeza sana Kenya, ikiwemo mashamba na viwanda. Tob Cohen hakujua kwamba anawekeza ktk nchini hatari sana hapa duniani, kibaya zaidi akaamua kuoana na mama wa kabila katili zaidi hapa Afrika Mashariki na kati.
R.I.P .... Tob Cohen.