Kenya yaendelea kukumbwa na tatizo kubwa la umeme

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Electricity has turned to be the most essential commodity in Kenya. Almost all families in the country depend on it for them to eat something. A few days ago Kenya experienced a national blackout. Kenya power communicated later that there was power disruption in national grid.

The company has resorted to inform its customers of the disruptions prior to avoid any inconvenience caused by the blackout.

On friday the company also announced that some parts would miss electricity due to routine maintenance and repair.

Today on their twitter account they have announced other areas to miss electricity. These areas shall not have power supply as from 7 am to 5 pm. Be prepared for it.


MY TAKE:

Maji hakuna, Umeme hakuna, Chakula hakuna, hajira hakuna, Deni la Taifa halibebeki, wakenya mnahitaji nini kabla ya kuingia barabarani kuiondoa Jubilee?
 
Yaani hakuna vyote hivyo na bado wapo kwenye Lockdown? Hata paka amewashinda, mfungie kila mahali then anza kumsurubu ndio utajua kwanini kuku hakojoi.
 
Yaani hakuna vyote hivyo na bado wapo kwenye Lockdown? Hata paka amewashinda, mfungie kila mahali then anza kumsurubu ndio utajua kwanini kuku hakojoi.
Hahahaha, ukabila ndio unaowasumbua, Jaribu kumgusa Uhuru Kenyatta uone jinsi wakikuyu watakavyokushambulia, wanasema Kenya ni nchi ya wakikuyu kwasababu wao ndio waliopigana vita ya MauMau wakati kabila zingine zilikua zikishirikiana na wazungu.
 
Kuna jamaa nimemsikia amesema kenya kuna shida ya umeme kwa kuwa watu wengi WaPo lockdown sasa huko majumbani kuanzia mornie mpaka night ni mwendo wa kutumia umeme tu mpaka vifaa kule kwenye station zina haribika.
 
haaa nyang'au wanashida nyingi sana.
wanafunga mpaka na tanzania ni kama wanatu beep.
siku wakisema wanafungua mpaka na sisi tunatangaza kufunga.inaitwa mbwa kala mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK254 nashindwa hata kuandika hapa maana sijui kama utapata notification. Ila kama simu yako haijazima chaji niquote nijue.
 
Kuna jamaa nimemsikia amesema kenya kuna shida ya umeme kwa kuwa watu wengi WaPo lockdown sasa huko majumbani kuanzia mornie mpaka night ni mwendo wa kutumia umeme tu mpaka vifaa kule kwenye station zina haribika .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu mtu akikwambia anakua anakuchukulia wewe mjinga.

Kwanza, Kenya haipo kwenye lockdown ila ina curfew. Wanaruhusiwa kutembea na kutoka nje ila isizidi saa 11 jioni.

Pili, Kenya siyo nchi pekee iliyofanya lockdown, kuna nchi nyingine imekumbwa na hili tatizo? Unamaanisha wakenya ni washamba kwa hiyo hiki kipindi cha korona ni neema kwao ya kutumia vifaa vya umeme?

Ungemzaba kibao cha uso.
 
Back
Top Bottom