Kenya yaeleza sababu ya kuiruhusu Tanzania, wakenya waipinga na kuilaumu Serikali yao, hongereni wakenya

Why Kenya removed Tanzania from quarantine list
MY TAKE: Someni comments za wakenya hapo chini muone ni jinsi gani wananchi wa Kenya wanavyowazidi akili viongozi wao kwa mbali sana.

Wananchi wengi wa Kenya sasa wanajua ukweli Geopolitics ya EastAfrica, wameacha kudanganywa na viongozi wao pamoja na media zao, sasa wanaijua nguvu ya Tanzania katika East Africa.
Nimempenda huyu jamaa anayejiita Mark Masumbi, ameandika kwamba:
Kenya had to consider a lot of things
1. KQ has a substantial share of passengers in TZ and ET and KLM were eating into this share by increase number of flights and frequency. Losing TZ market will greatly affect KQ and tourism as most tourists visit both countries.
2. The crisis was affecting the EAC partnership.
3. There are thousands of Kenya businesses operating in Tanzania and over 200,000 Kenyans working in Tz who were also affected
4. Kenya has a good population in Tz and maybe the reports from this group was that although everything in TZ operates in pre-Covid 19, after May/June there are very few suspected deaths or sicknesses reported or witnessed. The hundreds of thousands of Kenyan workers in TZ operates in the same environment and if covid was a serious problem in Tz they would be affected and reported back home the true situation.

Tz is a unique situation on Covid 19 and WHO and other countries should study why they have established covid curve without undertaking any steps apart from prayers

Huyu jamaa anajitambua...
 
Huyo jamaa kazungumza vizuri Sana, viongozi wa Kenya lazima wajue kwamba muda wa kuwadanganya wakenya umepita, sasa hivi wameamua kusimama kwa kutumia akili zao.
 
Wakenya wengi hawajitambui, ili waweze kujielewa na kujua mambo yanavyokwenda hapa EAC especially Tanzania: Ni lazima wafute kwanza huo ujinga waliofundishwa vichwani mwao kuhusu TZ. Sasa wachache wameshatambua nafasi ya TZ wengine ndio hawataki kukubali wanapiga mdomo tu, TZ ikiwapiga spana ndio kilio kinatoka kama hivi.
 
Hahahaha, kwahiyo hayo maneno unakataa kwamba hayakusemwa na Babuu Namwamba?, au hizo Comments sio za wakenya?
Babuu na mwamba ndio nani
Jamani jamani, jiulize kwnn media zinazojielewa kenya kuna habari zingine za wanasiasa wetu hulenga
 
Huyo jamaa kazungumza vizuri Sana, viongozi wa Kenya lazima wajue kwamba muda wa kuwadanganya wakenya umepita, sasa hivi wameamua kusimama kwa kutumia akili zao.
Kwn nynyi bado mnatumia akili za ccm, kila kitu ndio
 
Hivi mnasherehekea wakenya kufa au nini. Huu si uchawi huu! Nina rafiki zangu ninasoma nao, kama ingekuwa wewe idea ya wenzako kusherehekea rafiki zako au watu unaowafahamu kupata matatizo au vifo ingejiskiaje? Hacheni uchawi bila ya kujielewa. Tuombeane tu hii situation iishe tuendelee na uhasimu kimaendeleo zaidi.
 
Magufuli baba lao...Eti nikienda Kenya kama M-Tz,nakaa 14 days mandatory quarantine.... Magufuli akafungia midege yaooo.. Viongozi wa Kenya wanawadanganya wananchi wao,,,rushwa kibao,wanakula mkopo wa corona,huko wamewafungia makabwela,,hawatoi nguna,njaa hadi kwenye nywele.. Wananchi wameamka.... Tanzania tumeonyesha kuwa sisi ndo tembo wa ukanda huu.
 
Back
Top Bottom