Kenyan-Tanzanian
JF-Expert Member
- Nov 7, 2006
- 302
- 2
Siasa za chacha Kenya huku mbinu zote zikitumiwa kwenye mbio zakumchagua mpangaji wa Ikulu Nairobi wa miaka mingine mitano. Angalia hapo chini nakala au attachment ya jitihada za ODM chama cha Upinzani kutumia sasa vibonzo kuikashifu vikali serekali ya Mheshimiwa Rais Kibaki
duh hii kali!
duh hii kali!