Yes, my bad... But inakaa anayejenga Dandora stadium ndo alijenga hio Bomu stadium manake plan zimefanana kabisa!The night pictures are Bomu stadium in Mombasa.
That's true but perspectives and priorities are vital here. Kweli hii stadia is top notch but but i still prefer Kenya's model of prioritizing transport infrastructure ,improved business climate ,power plants ,water systems,sea ports and housing.Kweli kabisa Kagame anawacha alama Africa. Rwanda kanchi kadogo sana na hakana madini wala mafuta lakini wanajenga infrastructure kubwa kubwa hadi mtu anajiuliza pesa inatoka wapi. Huo ndio uongozi bora
Hahaha.. Mwanaume mwenzako huyo Anthony. Mahonda ndiye shawty. Unless you are ........cc mahondaw nipe number yako. Inaonekana wewe ni mrembo sana. Wachana na huyu jamaa hajielewi
Kumbe unaongea mambo usiyokuwa na uhakika nayo! Kwanza habari za kwamba PK alisema angem-hit mtu zilikuwa ni habari za uzushi tu kwa sababu asingeweza kusema hivyo wakati anajua ubavu huo hana!!Wenyewe wanajua walitukanana kwa ajili ya nini, ila nakumbuka povu zilikua zinawatoka, kuna siku huyo Kagame hadi alijikuta anasema atamhit mtu, duh, yaani nusra magobole yatumike.
Lakini kwa sasa naona wametulizana wote.....
MamboHahaha.. Mwanaume mwenzako huyo Anthony. Mahonda ndiye shawty. Unless you are ........
Poa sana. Kulost nayo?Mambo
Siyo bure, wewe unawashwa hivyo unahitaji mkunaji! Kwani kuna mtu kakulazimisha kuja JF, ukaribishwe halafu uanze kutupangia namna ya ku-comment, si ungebaki huko huko JamiiForums.com!...You say what? Maliza sentensi ama ukae kimya. "Aisee" ndio uporo wa juzi au nini? Wewe na ule mwengine wa kupumua "Mhh" mnaudhi. Na ule wazimu mwengine, kazi ni "cc Mahondaw" . Sijui Mahondaw ndio muhogo gani?
Sishangai maana Tony254 ni member wa LGBT Community, naona anatafuta bwana kwa nguvu....
Calm down Bishop. The guy wasn't serious.Sishangai maana Tony254 ni member wa LGBT Community, naona anatafuta bwana kwa nguvu....