Kenya what can we learn from Rwanda's ultra-modern stadium built in 6 months

Ule wa kupumua yuko wapi? Ule wa kufanya "Mhh" na kusepa.
 
The night pictures are Bomu stadium in Mombasa.
Yes, my bad... But inakaa anayejenga Dandora stadium ndo alijenga hio Bomu stadium manake plan zimefanana kabisa!

Bomu Stadium Mombasa.... Built by Mombasa County Government

D3dBYHzXsAAbvpz


D3dpYKqW4AAgBF_


D8cKRtZXkAAXeoX


D3kunobWAAYI2jY

DECzvxIWsAA7CBF


D3oicrIX4AYqWMy


D3kunoVWsAE83Gs



Nairobi County walipo tembelea Bomu stadium Mombasa
DpUl0p3XgAABwOi
 
Kweli kabisa Kagame anawacha alama Africa. Rwanda kanchi kadogo sana na hakana madini wala mafuta lakini wanajenga infrastructure kubwa kubwa hadi mtu anajiuliza pesa inatoka wapi. Huo ndio uongozi bora
That's true but perspectives and priorities are vital here. Kweli hii stadia is top notch but but i still prefer Kenya's model of prioritizing transport infrastructure ,improved business climate ,power plants ,water systems,sea ports and housing.

Rwandans would kill just to have the type of int'l business hub like Nairobi or other big projects like LAPSETT and others. Sio kwa ubaya lakini this stadia doesn't add much to their living standards like Kenya's projects obviously do.
 
Wenyewe wanajua walitukanana kwa ajili ya nini, ila nakumbuka povu zilikua zinawatoka, kuna siku huyo Kagame hadi alijikuta anasema atamhit mtu, duh, yaani nusra magobole yatumike.
Lakini kwa sasa naona wametulizana wote.....
Kumbe unaongea mambo usiyokuwa na uhakika nayo! Kwanza habari za kwamba PK alisema angem-hit mtu zilikuwa ni habari za uzushi tu kwa sababu asingeweza kusema hivyo wakati anajua ubavu huo hana!!
 
You say what? Maliza sentensi ama ukae kimya. "Aisee" ndio uporo wa juzi au nini? Wewe na ule mwengine wa kupumua "Mhh" mnaudhi. Na ule wazimu mwengine, kazi ni "cc Mahondaw" . Sijui Mahondaw ndio muhogo gani?
Siyo bure, wewe unawashwa hivyo unahitaji mkunaji! Kwani kuna mtu kakulazimisha kuja JF, ukaribishwe halafu uanze kutupangia namna ya ku-comment, si ungebaki huko huko JamiiForums.com!...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom