Kenya what can we learn from Rwanda's ultra-modern stadium built in 6 months

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Tuliambiwa tutajengewa stadium tano. Hata moja bado haijajengwa. Kagame amejenga yake ultra-modern in 6 months. Saa zingine tufanye self-criticism kama Wakenya yaani sio kila saa ni kusifia serikali. Mahali ambapo serikali ina mapungufu, ni vyema kuongea na kupaza sauti ili wajirekebishe ndio Kenya iwe better. We all want a better Kenya, the critics and the supporters. Criticism saa zingine ndio zinasaidia kujenga nchi kwa sababu leaders wakiwa under pressure ndio wanafanya kazi vizuri lakini wasipokuwa criticized wanakuwa comfortable juu hakuna mtu anawasukuma.

Here is Kigali’s ultra-modern in-door arena which has mesmerized Kenyans
By Amina Wako
August 12th, 2019 2 min read
Share this

Kigali-Arena

Stunning photos of Rwanda’s ultra-modern in-door stadium built in six months has mesmerized Kenyans on Twitter.

The indoor stadium, which has a sitting capacity of about 10,000 people, is among Africa’s top 10 indoor sports venues and the biggest in East Africa.

OTHER ARTICLES
Miguna now takes Matiang’i to court over citizenship denial
Senate summons Yatani and Oparanya over county salaries standoff
Rape and murder of 80-year-old granny leaves village in shock
House allowances wrangle between SRC and MCAs heads to court
The Kigali Arena, which was inaugurated by President Paul Kagame is a joint venture between the Government of Rwanda and Turkish Investment Company, Summa.

The Kigali Arena is a multi-purpose facility that will be used to host indoor games, but can also host meetings, conferences, exhibitions and concerts.

Kenya West©
@KinyanBoy
Can’t believe this sports complex was started and finished before the year ends. In just 6 months #KigaliArena is fully up and glittering.

In Kenya we’ve been getting promises since 2013 & the Nyayo one has been under renovation forever. Tumerogwa na mganga high grade.

View image on TwitterView image on TwitterView image on TwitterView image on Twitter
149
9:23 PM - Aug 10, 2019
Twitter Ads info and privacy
95 people are talking about this
With the few stadia we have, which have been undergoing renovation for even more than a year, Kenyans had this to say.

“It’s painful to be a Kenyan I tell you. It’s a shame that we always feel like we are among the best performing African country… But tutangangana tu,” @Ziloopi commtented.

“He work can be felt beyond boarders Kenyans should wake up and fight corruption including theft of public resources #TweetForAfrica,” @LfeonBrian tweeted.

“Yes 6 good months No politics just work in progress. Anyway we know our problem. Will fix it one day the day will be tired,” @ammyambrose posted.

“Leave alone nyayo stadium… In Eldoret we have been renovating Kipchoge stadium since 1996…without anything happening in it,” said @jackmpekuzzy97

“Nice work for Paul Kagame. Otherwise yetu is only manipulated by corrupt fellows to satisfy their greed. we are killing sports and talents in Kenya,” posted @kipkiruivicto15

“Kenya is only about fake promises,” @ronniechirchir tweeted.

“We have no pride @CarolRadull. It irks me,” lamented @CynMumbo.

“Imagine if that country had a seaport!” @fredsambu added.

Kigali Arena
rwanda
Nairobi News is now available on WhatsApp. For handpicked stories every day, subscribe to our

Kagame ni kiongozi mwenye maono ya mbali sana, japo kuna kipindi majirani zetu walimtukana sana na kujenga uadui naye, ila ni kiongozi wa kuigwa likija kwenye suala la maendeleo. Kainchi kadogo lakini kanaskika Afrika yote, ni aina ya kiongozi ambaye angepewa aongoze nchi kubwa yenye raslimali nyingi, bandari, vivutio bora vya watalii na ardhi kubwa yenye rotuba aisei nchi yake ingekua kiongozi Afrika.

Yeye hunipa matumaini kwamba Afrika tunachelewa kwa ajili ya uongozi mbaya, yaani nchi ikibahatika impate kiongozi mwenye akili, nia nzuri na mchapa kazi, inaweza kwenda mbali, lakini pia iwe ni nchi yenye wananchi wa kujituma, maana kiongozi akiwa mzuri lakini aongoze wazembe na wavivu, wimbo unabaki ule ule.

Mbona Kenya wana SGR na Rwanda hawana?

Kulinganisha kitu kimoja kimoja kama hivyo ni wazimu. Hata mimi kuna vitu ninavyo na Bill Gates hana.

Rwanda inabaki kuwa nchi fukara na Wanyarwanda ni mafukara wa kutupa.

Post zingingine bila picha sawa na mwanamke aliyevaa dera bila tako.
Ndugu yangu umelia sana, ndio hii mipicha. Natumai utawacha kulialia

It took only six months to build this state-of-the-art Kigali Arena, set to open in Rwanda soon.

The arena contains 13 cafes and bars, restaurants, a media hall and a fitness centre, covering an area of 28,000 square metres.

The NBA's Africa Final will be held here 🇷🇼 pic.twitter.com/5BoEx9jRDW
— startupAFRICA (@startupafrimag) August 5, 2019

Hata mkijengewa ndio mtaenda Uwanjani kuangalia
maana mpo baridi sana kufika viwanjani

Hivi unajijuaga kuwa wewe ni mpumbavu? tony kaleta mada hiyo huku akisema mliahidiwa kujengewa viwanja na hamkujengewa, badala ufocus na kujadili Kwanini hamkujengewa na nn kifanyike ili mjengeweunaingiza mambo ya jirani jirani Mwenyeww ana modern arena na anakaribia kujenga nyingine,
Kagame ni kiongozi mwenye maono ya mbali sana, japo kuna kipindi majirani zetu walimtukana sana na kujenga uadui naye, ila ni kiongozi wa kuigwa likija kwenye suala la maendeleo. Kainchi kadogo lakini kanaskika Afrika yote, ni aina ya kiongozi ambaye angepewa aongoze nchi kubwa yenye raslimali nyingi, bandari, vivutio bora vya watalii na ardhi kubwa yenye rotuba aisei nchi yake ingekua kiongozi Afrika.

Yeye hunipa matumaini kwamba Afrika tunachelewa kwa ajili ya uongozi mbaya, yaani nchi ikibahatika impate kiongozi mwenye akili, nia nzuri na mchapa kazi, inaweza kwenda mbali, lakini pia iwe ni nchi yenye wananchi wa kujituma, maana kiongozi akiwa mzuri lakini aongoze wazembe na wavivu, wimbo unabaki ule ule.

Hivi unajijuaga kuwa wewe ni mpumbavu? tony kaleta mada hiyo huku akisema mliahidiwa kujengewa viwanja na hamkujengewa, badala ufocus na kujadili Kwanini hamkujengewa na nn kifanyike ili mjengeweunaingiza mambo ya jirani jirani Mwenyeww ana modern arena na anakaribia kujenga nyingine,

Hehehe!! Kwani nilitupa jiwe maana sikukusudia litamuuma mtu, sio kwa mayowe hayo....
Humu kila mtu ana uhuru wa kutafsiri na kujadili hoja aitakavyo, mimi nimemsifia Kagame maana kafanya kweli, kuna wengine humu wamemponda, ndio huo unaoitwa uhuru wa kujadili hoja, usitegemee kila mtu aandike kwa kukufurahisha.

Wewe ni mpumbavu by nature ona unavojitetea ujinga.

Dah! Pole ndugu, aisei sikujua itakuharibia siku kiasi hiki, ila ndio ilivyo mitandao ya kijamii, kuna siku hata mkulu wenu aliomba malaika aje aifunge yote hii mitandao, maana inawapa watu uhuru wa kusema, kila mmoja anakua kama mwandishi wa habari.
Tofauti na pale tunasoma magazeti ya kuchapishwa, ambapo watu wachache wanaandika halafu mamilioni wanasoma, humu kila mmoja ni mwandishi, anatoa maoni....hehehe

Kwanini wakenya wachache sana ndio mnatumia JAMII FORUMS?

Kagame ni kiongozi mwenye maono ya mbali sana, japo kuna kipindi majirani zetu walimtukana sana na kujenga uadui naye, ila ni kiongozi wa kuigwa likija kwenye suala la maendeleo. Kainchi kadogo lakini kanaskika Afrika yote, ni aina ya kiongozi ambaye angepewa aongoze nchi kubwa yenye raslimali nyingi, bandari, vivutio bora vya watalii na ardhi kubwa yenye rotuba aisei nchi yake ingekua kiongozi Afrika.

Yeye hunipa matumaini kwamba Afrika tunachelewa kwa ajili ya uongozi mbaya, yaani nchi ikibahatika impate kiongozi mwenye akili, nia nzuri na mchapa kazi, inaweza kwenda mbali, lakini pia iwe ni nchi yenye wananchi wa kujituma, maana kiongozi akiwa mzuri lakini aongoze wazembe na wavivu, wimbo unabaki ule ule.

Tuliambiwa tutajengewa stadium tano. Hata moja bado haijajengwa. Kagame amejenga yake ultra-modern in 6 months. Saa zingine tufanye self-criticism kama Wakenya yaani sio kila saa ni kusifia serikali. Mahali ambapo serikali ina mapungufu, ni vyema kuongea na kupaza sauti ili wajirekebishe ndio Kenya iwe better. We all want a better Kenya, the critics and the supporters. Criticism saa zingine ndio zinasaidia kujenga nchi kwa sababu leaders wakiwa under pressure ndio wanafanya kazi vizuri lakini wasipokuwa criticized wanakuwa comfortable juu hakuna mtu anawasukuma.

Here is Kigali’s ultra-modern in-door arena which has mesmerized Kenyans
By Amina Wako
August 12th, 2019 2 min read
Share this

Kigali-Arena

Stunning photos of Rwanda’s ultra-modern in-door stadium built in six months has mesmerized Kenyans on Twitter.

The indoor stadium, which has a sitting capacity of about 10,000 people, is among Africa’s top 10 indoor sports venues and the biggest in East Africa.

OTHER ARTICLES
Miguna now takes Matiang’i to court over citizenship denial
Senate summons Yatani and Oparanya over county salaries standoff
Rape and murder of 80-year-old granny leaves village in shock
House allowances wrangle between SRC and MCAs heads to court
The Kigali Arena, which was inaugurated by President Paul Kagame is a joint venture between the Government of Rwanda and Turkish Investment Company, Summa.

The Kigali Arena is a multi-purpose facility that will be used to host indoor games, but can also host meetings, conferences, exhibitions and concerts.

Kenya West
@KinyanBoy
Can’t believe this sports complex was started and finished before the year ends. In just 6 months #KigaliArena is fully up and glittering.

In Kenya we’ve been getting promises since 2013 & the Nyayo one has been under renovation forever. Tumerogwa na mganga high grade.

View image on TwitterView image on TwitterView image on TwitterView image on Twitter
149
9:23 PM - Aug 10, 2019
Twitter Ads info and privacy
95 people are talking about this
With the few stadia we have, which have been undergoing renovation for even more than a year, Kenyans had this to say.

“It’s painful to be a Kenyan I tell you. It’s a shame that we always feel like we are among the best performing African country… But tutangangana tu,” @Ziloopi commtented.

“He work can be felt beyond boarders Kenyans should wake up and fight corruption including theft of public resources #TweetForAfrica,” @LfeonBrian tweeted.

“Yes 6 good months No politics just work in progress. Anyway we know our problem. Will fix it one day the day will be tired,” @ammyambrose posted.

“Leave alone nyayo stadium… In Eldoret we have been renovating Kipchoge stadium since 1996…without anything happening in it,” said @jackmpekuzzy97

“Nice work for Paul Kagame. Otherwise yetu is only manipulated by corrupt fellows to satisfy their greed. we are killing sports and talents in Kenya,” posted @kipkiruivicto15

“Kenya is only about fake promises,” @ronniechirchir tweeted.

“We have no pride @CarolRadull. It irks me,” lamented @CynMumbo.

“Imagine if that country had a seaport!” @fredsambu added.

Kigali Arena
rwanda
Nairobi News is now available on WhatsApp. For handpicked stories every day, subscribe to our
Miradi mingi mikubwa ya Rw Kagame ana prefer PPP, mfano Bugesera airport, Kigali Arena ata SGR yao kuna tetesi itakua PPP. Hiyo sheria yao ya PPP itakua rafiki sana kwa wawekezaji. Sheria ikiwa ina vutia sana wawekezaji inaeza ikawa inakanyaga maslahi mapana ya nchi. Tungepata fursa kuona jinsi PPP inavyo fanya kazi Rwanda ili tusifie kitu tunacho kielewa. Tukiacha hayo, Kagame ana acha alama Rwanda.

Kweli kabisa Kagame anawacha alama Africa. Rwanda kanchi kadogo sana na hakana madini wala mafuta lakini wanajenga infrastructure kubwa kubwa hadi mtu anajiuliza pesa inatoka wapi. Huo ndio uongozi bora

Hii stadium ndiyo itatumika katika NBA Africa semi-finals and Finals in 2020. This will be the first time NBA will host a full-season league outside U.S.A

As a kenyan i am always amazed at how focused and determined Kagame is in rebuilding his country. In kenya we need leaders who hold the people in high regard as Kagame does his people.

Back
Top Bottom