Kenya what can we learn from Rwanda's ultra-modern stadium built in 6 months

M

Mbolabilika

Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
75
Points
125
M

Mbolabilika

Member
Joined Jul 30, 2019
75 125
Mbona Kenya wana SGR na Rwanda hawana?

Kulinganisha kitu kimoja kimoja kama hivyo ni wazimu. Hata mimi kuna vitu ninavyo na Bill Gates hana.

Rwanda inabaki kuwa nchi fukara na Wanyarwanda ni mafukara wa kutupa.
Sawa kabisa ww unao umasikini lakini Bill gates hana
 
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,145
Points
2,000
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,145 2,000
Hii stadium ndiyo itatumika katika NBA Africa semi-finals and Finals in 2020. This will be the first time NBA will host a full-season league outside U.S.A
Sio mbaya kiukweli..na mm nasifia rwanda kwa maendeleo yao.na wamefanya vzur...

Ila nchi zote zinaouwezo wakufanya hiv ila shida ni kuwa hatuoni kama michezo ni priority

Hii stadium haijacost zaid ya $25mil which ni hela ndogo sna kwa nchi kama Tz na Kenya

Lets talk about Tz ..kuna Kipind PM alisema watajenga Indoor mpya Dar ila mpka sa hiz haijajengewa ..ila Stadium mpya ya dodoma inaanza kujengwa..tht means Basketball isnt seen as a priority ...which means our leaders
1. lack vision
2.They dont see sports/sports toursim as a place to invest ..because of having alot of resources to depend kama national parks and all

Kwa rwanda hawana vivutio ving so wanajarbu kila njia kuvutia uwekezaji wa sports na conference tourism......
Ila Tz tunaona kwamba kila pesa walau kidog tujenge bus stands.masoko.district hospitals,labs,schools..water infastrcture..we cant let than 25mil usd go to sports infa which is good but pia bad...in terms of sports also offer enployment and tht arena can host mutiple events other than bball

I dont say rwanda hawajengi hzo social servives but kwa population yao ndogo its na fdi kubwa wanapata means inawatosheleza ku priotize kwenye vitu kama sports haswa basketball amabyo haipendelewi Tz
 
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,756
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,756 2,000
Sio mbaya kiukweli..na mm nasifia rwanda kwa maendeleo yao.na wamefanya vzur...

Ila nchi zote zinaouwezo wakufanya hiv ila shida ni kuwa hatuoni kama michezo ni priority

Hii stadium haijacost zaid ya $25mil which ni hela ndogo sna kwa nchi kama Tz na Kenya

Lets talk about Tz ..kuna Kipind PM alisema watajenga Indoor mpya Dar ila mpka sa hiz haijajengewa ..ila Stadium mpya ya dodoma inaanza kujengwa..tht means Basketball isnt seen as a priority ...which this means our leaders
1. lack vision
2.They dont see sports/sports toursim as a place to invest ..because of having alot of resources to depend kama national parks and all

Kwa rwanda hawana vivutio ving so wanajarbu kila njia kuvutia uwekezaji wa sports na conference tourism....
Wewe Mtanzania una akili sana na mawazo yaliyobaleghe. Sio kawaida kuwaona Wabongo wakitumia ubongo wao vizuri kwenye comments kama wewe. Endelea hivyo hivyo
 
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,145
Points
2,000
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,145 2,000
Wewe Mtanzania una akili sana na mawazo yaliyobaleghe. Sio kawaida kuwaona Wabongo wakitumia ubongo wao vizuri kwenye comments kama wewe. Endelea hivyo hivyo
Lets hope one day our leaders will give sports a big priority ...angalia jinsi tunavyolipia kuangalia NBA na EPL au La liga ..Nchi hizo zinapata hela sana kwa sports....jinsi wanavyopata tourist kunagalia UCL matches....so tukiinvest kwenye sports itasaidia uchumi pia na ajira

Nmeona Kenya mnajenga small stadiums which is not bad atleast ..but sio kama mlivyohaidiwa ila utafanyaje heli nusu shari kuliko shari kamili...hizo small stadium zitasaidia kukuza teams za mpira na vipaji but nyie mnavyocheza michezo kama rugby kwenye international levels..mnegejenga a good standard multipurpose stadium mhost hata rugby tournaments

Tz pia tuko na ligi nzur ya mpira ..shida imekuwa dominated na few teams ...Tz walau football can give us hope at club levels international bado
Simba has made us proud kufika big stage last season ..at CAF champions league
Ni muda sasa our big clubs zijenge stadium zao ili wapate hela zao wenyewe ..
Na pia Tz tu invest atleatst 50mil usd in 2-3 yeas we can get a good indoor and swimming arena itatusaidia
 
Nakubaliana na wewe mia fil mia. Mawazo mazuri hayo.
 
Forum statistics

Threads 1,326,733
Members 509,585
Posts 32,232,777
Top