Kenya what can we learn from Rwanda's ultra-modern stadium built in 6 months

Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Messages
2,756
Points
2,000
Tony254

Tony254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2017
2,756 2,000
Ule wa kupumua yuko wapi? Ule wa kufanya "Mhh" na kusepa.
 
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
5,063
Points
2,000
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
5,063 2,000
The night pictures are Bomu stadium in Mombasa.
Yes, my bad... But inakaa anayejenga Dandora stadium ndo alijenga hio Bomu stadium manake plan zimefanana kabisa!

Bomu Stadium Mombasa.... Built by Mombasa County GovernmentNairobi County walipo tembelea Bomu stadium Mombasa
 
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
638
Points
500
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
638 500
Kweli kabisa Kagame anawacha alama Africa. Rwanda kanchi kadogo sana na hakana madini wala mafuta lakini wanajenga infrastructure kubwa kubwa hadi mtu anajiuliza pesa inatoka wapi. Huo ndio uongozi bora
That's true but perspectives and priorities are vital here. Kweli hii stadia is top notch but but i still prefer Kenya's model of prioritizing transport infrastructure ,improved business climate ,power plants ,water systems,sea ports and housing.

Rwandans would kill just to have the type of int'l business hub like Nairobi or other big projects like LAPSETT and others. Sio kwa ubaya lakini this stadia doesn't add much to their living standards like Kenya's projects obviously do.
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
3,543
Points
2,000
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
3,543 2,000
cc mahondaw nipe number yako. Inaonekana wewe ni mrembo sana. Wachana na huyu jamaa hajielewi
Hahaha.. Mwanaume mwenzako huyo Anthony. Mahonda ndiye shawty. Unless you are ........
 
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,027
Points
2,000
M

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,027 2,000
Wenyewe wanajua walitukanana kwa ajili ya nini, ila nakumbuka povu zilikua zinawatoka, kuna siku huyo Kagame hadi alijikuta anasema atamhit mtu, duh, yaani nusra magobole yatumike.
Lakini kwa sasa naona wametulizana wote.....
Kumbe unaongea mambo usiyokuwa na uhakika nayo! Kwanza habari za kwamba PK alisema angem-hit mtu zilikuwa ni habari za uzushi tu kwa sababu asingeweza kusema hivyo wakati anajua ubavu huo hana!!
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
683
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
683 1,000
Gwambina Stadium Misungwi Mwanza
images-19-jpeg.1180843
images-18-jpeg.1180844
images-17-jpeg.1180845
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,814
Points
2,000
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,814 2,000
You say what? Maliza sentensi ama ukae kimya. "Aisee" ndio uporo wa juzi au nini? Wewe na ule mwengine wa kupumua "Mhh" mnaudhi. Na ule wazimu mwengine, kazi ni "cc Mahondaw" . Sijui Mahondaw ndio muhogo gani?
Siyo bure, wewe unawashwa hivyo unahitaji mkunaji! Kwani kuna mtu kakulazimisha kuja JF, ukaribishwe halafu uanze kutupangia namna ya ku-comment, si ungebaki huko huko *********!...
 

Forum statistics

Threads 1,326,734
Members 509,585
Posts 32,232,910
Top