much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 7,506
- 10,279
Rushwa na ufisadi Kenya mnauita aggressive na uchapa kaziDuh! Akikamatwa huyo nitaamini hii serikali ina haja ya kumaliza ufisadi, maana ni mmojawapo wa mawaziri wenye nguvu sana seriklini. Nilikua nimeanza kumchoka rais Uhuru kwenye hili la ufisadi.
Japo huyu waziri hujituma sana, mchapa kazi wa kueleweka, sijui shetani gani kamuingia hadi atajwe kwenye mambo ya kihivi.
Waliokamatwa wote ni wakuu sana, watu wa karibu kwa rais Uhuru, tuone huu mchezo unavyokwenda, rais aonyeshe uongozi, asizuie wala kuingilia kati.