Kenya wataka Rais kama Magufuli wadai Rutto anazuiwa na Katiba kugombea urais anapaswa kustaafu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,512
141,240
Makamu wa mwenyekiti wa Jubiler amesema anakwenda mahakamani kupinga Naibu Rais Rutto kugombea nafadi ya Rais katika uchaguzi ujao kwani ni kinyume cha sheria na katiba.

Makamu huyo wa mwenyekiti amesema ni vema Kenya ikapata Rais katika utaratibu huru na wa haki kama ilivyokuwa Tanzania ambako wagombea wote wa chama tawala walikuwa sawa na hakuna aliyebebwa na mbeleko.

Amedai kuwa kwa mujibu wa katiba Naibu wa Rais anayehufumu kwa vipindi viwili mfululizo anatakiwa kustaafu na Rais. so Rutto ni lazima astaafu na Uhuru.

Chanzo: ITV habari!

My take;
Hii kesi itakuwa nzuri sana maana kule Kenya kuna " vipanga" siyo kama hawa akina Habib Mchange wa hapa kwetu.
 
Makamu wa mwenyekiti wa Jubiler amesema anakwenda mahakamani kupinga Naibu Rais mh Rutto kugombea nafadi ya Rais katika uchaguzi ujao kwani ni kinyume cha sheria na katiba.
Makamu huyo wa mwenyekiti amesema ni vema Kenya ikapata Rais katika utaratibu huru na wa haki kama ilivyokuwa Tanzania ambako wagombea wote wa chama tawala walikuwa sawa na hakuna aliyebebwa na mbeleko.
Amedai kuwa kwa mujibu wa katiba Naibu wa Rais anayehufumu kwa vipindi viwili mfululizo anatakiwa kustaafu na Rais. so Rutto ni lazima astaafu na Uhuru.
Source ITV habari!

My take;
Hii kesi itakuwa nzuri sana maana kule Kenya kuna " vipanga" siyo kama hawa akina Habib Mchange wa hapa kwetu.
Ulisoma fasihi?........anyway usiogope!
 
Tunawatakia Kila la Kheir!

Hata Sie tuliomba kwa Mola tupate Mtu Kama Dr John Na kwa uwezo wake Manani Dua zetu zikawa Maqbool
 
Dream Liner yaanza rasmi kubeba nyama ya mbuzi kwenda ughaibuni
Makamu wa mwenyekiti wa Jubiler amesema anakwenda mahakamani kupinga Naibu Rais Rutto kugombea nafadi ya Rais katika uchaguzi ujao kwani ni kinyume cha sheria na katiba.

Makamu huyo wa mwenyekiti amesema ni vema Kenya ikapata Rais katika utaratibu huru na wa haki kama ilivyokuwa Tanzania ambako wagombea wote wa chama tawala walikuwa sawa na hakuna aliyebebwa na mbeleko.

Amedai kuwa kwa mujibu wa katiba Naibu wa Rais anayehufumu kwa vipindi viwili mfululizo anatakiwa kustaafu na Rais. so Rutto ni lazima astaafu na Uhuru.

Chanzo: ITV habari!

My take;
Hii kesi itakuwa nzuri sana maana kule Kenya kuna " vipanga" siyo kama hawa akina Habib Mchange wa hapa kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanataka Rais kama Magufuli au wanataka utaratibu wa ccm kupata Mgombea Urais.?

....JUBILER...
Naomba msaada wa ushauri ni wapi naweza kupata ndege ya kubebea sangara na dagaaa kupeleka UK tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Sato una nyavu Za kuvulia Na Mtumbwi Au ndio Kangomba?
Nyavu na mtumbwi ninavyo na receipt zake ninazo sasa nimefika Mwanza mjini nikakuta kuna ndege yetu dream liner inapakia nyama ya mbuzi kwenda umangani ndiyo nikapata wazo la kuomba ushauri kama nami naweza ruhusiwa kuikodi kupakia sangara wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuatilia jukwaa la siasa la chama cha ...-uone jinsi wakenya wanavyo tupondea raisi wetu. Ngoja nita screenshot halafu uone. Wanasema raisi wao handsome sisi wetu eti yupo kama......
 
Wamchukue tu maana sisi huku tumechoka naye watu kila siku wanapotezwa na watu wasiojulikana, ameua uchumi wa nchi, ameongeza ugumu wa ajira n.k

2020 John Walker out
 
Makamu wa mwenyekiti wa Jubiler amesema anakwenda mahakamani kupinga Naibu Rais Rutto kugombea nafadi ya Rais katika uchaguzi ujao kwani ni kinyume cha sheria na katiba.

Makamu huyo wa mwenyekiti amesema ni vema Kenya ikapata Rais katika utaratibu huru na wa haki kama ilivyokuwa Tanzania ambako wagombea wote wa chama tawala walikuwa sawa na hakuna aliyebebwa na mbeleko.

Amedai kuwa kwa mujibu wa katiba Naibu wa Rais anayehufumu kwa vipindi viwili mfululizo anatakiwa kustaafu na Rais. so Rutto ni lazima astaafu na Uhuru.

Chanzo: ITV habari!

My take;
Hii kesi itakuwa nzuri sana maana kule Kenya kuna " vipanga" siyo kama hawa akina Habib Mchange wa hapa kwetu.
Kenya hawawezi kuongozwa na KICHAA kama majirani zao.
 
Back
Top Bottom