Kenya wataka Rais kama Magufuli wadai Rutto anazuiwa na Katiba kugombea urais anapaswa kustaafu!

Figisu figisu laja. Uhuru anakuwa prime minister with fully power, Rutto deputy wake. Raila Raisi asiye na meno. Mchezo umeisha. Ndio Kelele zote za referandum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamu wa mwenyekiti wa Jubiler amesema anakwenda mahakamani kupinga Naibu Rais Rutto kugombea nafadi ya Rais katika uchaguzi ujao kwani ni kinyume cha sheria na katiba.

Makamu huyo wa mwenyekiti amesema ni vema Kenya ikapata Rais katika utaratibu huru na wa haki kama ilivyokuwa Tanzania ambako wagombea wote wa chama tawala walikuwa sawa na hakuna aliyebebwa na mbeleko.

Amedai kuwa kwa mujibu wa katiba Naibu wa Rais anayehufumu kwa vipindi viwili mfululizo anatakiwa kustaafu na Rais. so Rutto ni lazima astaafu na Uhuru.

Chanzo: ITV habari!

My take;
Hii kesi itakuwa nzuri sana maana kule Kenya kuna " vipanga" siyo kama hawa akina Habib Mchange wa hapa kwetu.
Habibu mchange si mwenzio ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom