Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Kenya wamefuata utaratibu wa enzi za Mzee Ruksa Tanzania kwa kufidia Sikukuu inayoangukia siku ya mapumziko. Jumatatu Januari 2, 2017 itakuwa mapumziko nchini Kenya kufidia Sikukuu ya Mwaka Mpya iliyoangukia Jumapili.
JPM nae atusupprise hata kama hakuna hela za shangwe, japo uchumi unapaa kimiujiza! Mabenki yamepungua faida, hakuna investment kubwa mpya, hakuna ajira mpya, hakuna mishahara mipya, mzunguko wa hela mgumi...lakini bado uchumi unapaa..! WeArTheBest