Kenya wananchi wamsusia maiti ofisini mkuu wa wilaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya wananchi wamsusia maiti ofisini mkuu wa wilaya.

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Paul S.S, Feb 3, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Katika kile kinachoonyesha kuchoshwa na tabia ya polisi kuachia watuhumiwa katika mazingira ya kutatanisha, wananchi wa wilaya moja nchini kenya wamebeba maiti umbali wa maili kadhaa na kwenda kuibwaga mlango wa kuingilia ofisini kwa mkuu wa wilaya hiyo ikiwa ndani ya jeneza na kuondoka kwa madai ya kuwa marehemu aliuwawa na majambazi na kisha mmoja wa watuhumiwa wa mauaji hayo kukamatwa na polisi.
  Lakini cha ajabu kabla hata ya mazishi polisi walimuachia mtuhumiwa huyo na kuanza kupiga kilaji mitaani kwa mbwembwe kitendo kilicho waudhi wakazi hao hadi kuchukua uamuzi wa kumuachia maiti hiyo mlangoni ofisini na kuondoka kushinikiza hatua za haraka zichukulie dhidi ya wauaji hao.
  Kwa mujibu wa ITV haijajulikana sakata hilo limeishaje.
  Kazi kweli tabia hii hata bongo ipo sana tu
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Conspiracy theories kwenye vyombo vya ulinzi wa raia!
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bongo tunaweza?
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  wabongo ujasiri huu hatuuwezi,kwa hao wenye maiti hawatakubali
   
Loading...