Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,121
- 2,853
Kwan we unaamin hakuna kifo? Au mpaka kiwe kifo kitokeaje mpaka kiwe halali au kwa mipango ya mungu?. Au unaweza kuzuia kifo cha mzazi wako mpendwa mwenzetu kwa njia yeyote ile?Kila mtu akale aliko peleka mboga!!
Mambo ya kuficha ficha ndo yameleta yote haya!
Watu wangetangaziwa mapema, wangemuombea huenda angepona!
Waliotakiwa kusema ukweli walitudanganya anachapa kazi, waongo wakasema ukweli anaumwa!
Sasa unazani mkweli ni nani!
Tumwamini yupi?
TUJISAHIHISHE TURUDISHE UMOJA