Kenya wana haki 100% kwenye mzozo wa mpaka na Somalia

Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,227
2,197
Ukitazama mpaka wa Tanzania na Kenya ni dhahiri Kenya wana haki ya kutetea eneo la bahari ambalo Somalia wanadai kuwa ni lao. Kama madai ya Somalia ni halali basi hata Kenya wangeweza kuibuka na madai kama hayo dhidi ya Tanzania. Madai kama haya nayafananisha na yale ya Malawi dhidi ya Tanzania. Hakuna mpaka namna hiyo.

Kiroho safi nawashauri Somalia waachane na hii kesi ili kuepuka kuingia kwenye vita isiyo na maana.

images.jpg
images (1).jpg
 
Attachments

  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    10.5 KB · Views: 1
Ukitazama mpaka wa Tanzania na Kenya ni dhahiri Kenya wana haki ya kutetea eneo la bahari ambalo Somalia wanadai kuwa ni lao. Kama madai ya Somalia ni halali basi hata Kenya wangeweza kuibuka na madai kama hayo dhidi ya Tanzania. Madai kama haya nayafananisha na yale ya Malawi dhidi ya Tanzania. Hakuna mpaka namna hiyo.

Kiroho safi nawashauri Somalia waachane na hii kesi ili kuepuka kuingia kwenye vita isiyo na maana.

View attachment 1725749View attachment 1725751
mahakamani kwenye haki hampataki msaidiwaje sasa?
kila mtu apambane na hali yake kwa kweli mtuache tupumue
 
Kila kitu kipo wazi, tangia siku ya kwanza. Wanaowaunga mkono Somalia ni wachawi tu wenye chuki zao na nchi ya Kenya. Mipaka yote baharini ipo hivyo kuanzia Misri hadi S. Afrika. Kesi yenyewe inaanza kesho huko ICJ, ila serikali ya Kenya imetangaza kujiondoa na kutojishirikisha kwenye kesi hiyo. Nchi ya Kenya imesema haina imani na mahakama hiyo. Baada ya wao kutokubali ombi la Kenya la kuihairisha kesi hiyo kwa muda mwingine tena kwasababu ya janga la COVID-19.
 
Kila kitu kipo wazi, tangia siku ya kwanza. Wanaowaunga mkono Somalia ni wachawi tu wenye chuki zao na nchi ya Kenya. Mipaka yote baharini ipo hivyo kuanzia Eritrea hadi S. Afrika. Kesi yenyewe inaanza kesho huko ICJ, ila serikali ya Kenya imetangaza kujiondoa na kutojishirikisha kwenye kesi hiyo. Nchi ya Kenya imesema haina imani na mahakama hiyo. Baada ya wao kutokubali ombi la Kenya la kuihairisha kesi hiyo kwa muda mwingine tena kwasababu ya janga la COVID-19.
Kumbe Kenya kaweka mpira kwapani!
 
Ukitazama mpaka wa Tanzania na Kenya ni dhahiri Kenya wana haki ya kutetea eneo la bahari ambalo Somalia wanadai kuwa ni lao. Kama madai ya Somalia ni halali basi hata Kenya wangeweza kuibuka na madai kama hayo dhidi ya Tanzania. Madai kama haya nayafananisha na yale ya Malawi dhidi ya Tanzania. Hakuna mpaka namna hiyo.

Kiroho safi nawashauri Somalia waachane na hii kesi ili kuepuka kuingia kwenye vita isiyo na maana.

View attachment 1725749View attachment 1725751

Wewe unatoa wapi mamlaka ya kusema kenya ina haki kwa 100%!!?
 
Kumbe Kenya kaweka mpira kwapani!
Counsel wa kimataifa ambao walikuwa wanaiwakilisha Kenya hawajaweza kufika ICJ, kisa wanatoka nchi ambazo zimewabana kusafiri kwasababu ya janga la COVID-19. Sasa kama hiyo sio hoja halali ya kuihairisha kesi hiyo kwa muda, sijui kama kutakuwepo na hoja nyingine ya kuzingatiwa kwenye kesi hiyo.
 
Uamuzi wa ICJ ukishatoka ndio imeshakula kwa Kenya, kitakachofuata ni Somalia kufanya auction ya oil blocks tu halafu mtapambana na mabeberu na drill ships zao.
Uamuzi wao utakuwa 'null and void'. Bila submission zozote za defence team(yaani Kenya) majaji watawezaje kufikia uamuzi ambao utazingatiwa kuwa wa kweli na wa haki?
 
Uamuzi wao utakuwa 'null and void'. Bila submission zozote za defence team(yaani Kenya) majaji watawezaje kufikia uamuzi ambao utazingatiwa kuwa wa kweli na wa haki?
Haujui unaweza kuhukumiwa hata usipokuwepo, yaani strategy ya Kenya imekuwa kukimbia kesi kwa visingizio kila siku, sasa muda huu mahakama imewachoka, kesi itaendelea, hukumu itatoka halafu tuone kama hilo eneo litakuwa salama kwa Kenya baada ya hukumu.
 
Hahahaha! Wakenya wanafurahisha sana. Wanapenda kujitutumua kupata visivo vyao. Huko mahakamani pamewashinda. Kutafuata kutolewa kwenu jubaland kwa viboko.
 
Wakenya wanaabudu sana ufisadi. Yaani hawa wameweka mbele sana tamaa kuliko utu. Wakimbizi huko kenya wananyanyasika sana. Karma is a bitch
 
Haujui unaweza kuhukumiwa hata usipokuwepo, yaani strategy ya Kenya imekuwa kukimbia kesi kwa visingizio kila siku, sasa muda huu mahakama imewachoka, kesi itaendelea, hukumu itatoka halafu tuone kama hilo eneo litakuwa salama kwa Kenya baada ya hukumu.
Hii ni international law jombaa, mzozo wa mipaka, sio kesi kienyeji ya wizi wa mbuzi.
 
Back
Top Bottom