Kenya Wamewavamia Wahamiaji Haramu.... Watanzania Kibao Wamo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya Wamewavamia Wahamiaji Haramu.... Watanzania Kibao Wamo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Feb 10, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nadhani kwa wale ambao mko kenya kwa sasa hivi mtakubaliana nami kwamba, serikali ya Mwai Kibaki amecharuka. Jana nimetoka airpoty kuelekea mjini. Baada ya kushuka kwenye TEXI kuingia hotelini nikakuta polisi wame round-up watu kibao wakiwemo Watanzania ambao nilielewa kabsa wametokea Mikoa ya Pwani na Dar. Alafu leo tena gazeti lao limetoa habari hizi hapa.... Sasa kwetu wanakaa hadi lini
  Foreigners Warned Over Overstaying
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  kwani Tanzania kuna serikali kwa maana halisi ya serikali zaidi ya genge la wezi lililonyakua madaraka? Unaamini kuwa serikali iliyoko Tanzania inajua wajibu wake?
   
 3. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,737
  Likes Received: 3,170
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu imelala usingizi lakini haina shida tutawaondoa sisi wenyewe.
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  By PAUL GITAU
  Immigration officials from Mombasa and Malindi have launched a crackdown on foreigners who are in the country illegally.
  Coast Provincial Immigration Officer James Nyatigoh said there was an influx of foreigners, some working in the tourism industry illegally.
  Mr Nyatigoh said they will intensify the crackdown and that those arrested will be prosecuted.
  "As we speak we have arrested four Italians one of who has been in the country illegally for the past ten years," said he.
  Nyatigoh added that the operation would continue.
  The crackdown comes barely a month after Malindi MP Gideon Mung'aro demanded that the Immigration Department furnish him with names of foreigners working in the hotels in Malindi and Watamu.
  Mr Mung'aro had raised concern that many hotels were employing foreigners in their establishments, thus rendering the locals jobless.

  Alaaaah! kumbe sisi wao walivyojaa kwenye mahoteli ya hapa kwetu wanaona ni kwao? ! Wataumia.....waache waanzevita ya mawe wakati wao wako kwenye nyumba ya vioo.
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  nyie hacheni. hata bakery za mikate ni za wakenya
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mpaka wahudumu wa hoteli zetu Tanzania ni wakenya utawajua kwa kiswahili chao kibovu. Na sie tuwatimulie mbali wakenya humu waliojazana wanaochukua kazi za vijana wetu Tanzania. Nadhani huyo Rais na waziri hawajakaa wakafikiria vizuri. Kama unataka kuwatimua wageni kuwe na sababu za msingi sio tu ubaguzi usio na msingi.
   
Loading...