Kenya: Wagonjwa 134 wathibitika kuwa na Covid 19, visa vyafikia 2474

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,353
Health Chief Administrative Secretary (CAS) Dr. Mercy Mwangangi on Friday announced that COVID-19 infections in the country had risen to 2,474 after 134 more patients tested positive for the disease from 3,177 samples tested within the last 24 hours.

Dr. Mwangangi, speaking during the daily coronavirus briefings at Afya House in Nairobi, said the new cases are composed of 131 Kenyans and 3 foreign nationals.

The CAS announced that the patients, aged between 6-70 years, consist of 98 males and 36 females.

The cases are distributed between various counties including: Mombasa (67), Nairobi (31), Busia (15), Machakos (5), Taita Taveta (4), Kilifi (2), Nakuru (2), Kiambu (2), Garissa (1), Murang’a(1), Kisumu(1), Uasin Gishu (1), Kajiado (1).

The Mombasa cases were recorded in such areas as; Kisauni (25), Jomvu (12), Changamwe (10), Mvita (10), Likoni (1) while those in Nairobi were in Kibera (19), Westlands (7), Ruaraka(1), Kasarani (1), Embakasi East (1) as well as other areas.

Dr. Mwangangi also revealed that 51 more patients were discharged in the last 24 hours, hence taking the total number of recoveries to 643.

One patient however succumbed to the coronavirus, taking the tally of deaths to 79.

Source: COVID-19 cases in Kenya rise to 2,474 after 134 more patients test positive

Pia soma > Hospitali zimezidiwa wagonjwa wa Covid 19, kuanza kutibiwa nyumbani
 
Takwimu ya Kenya iko very clear! Ukipewa locations hatari kama hizo halafu hutaki kuchukua tahadhari ujinga ni wako
 
hata hapa kwetu tz unaweza kuta hali ni mbaya zaidi kuliko hata Kenya...ila wananchi tutajuaje sasa wakati mamlaka zimekalia takwimu?!.
 
Pima pima pima pimaaaaa!! Sasa hv tutafikisha 10000 Kama tutaendelea kupima sample nyingi zaidi
 
Huu mtego wa wazungu utawatesa sana Wakenya.
Sio wakenya tu , watu wasio na akili maana na sisi tungekuwa tunaongozwa na chadomo tungekuwa Kama kenya maana nao wanamisimamo ya kuwaangalia Sana wazungu , hawafanyi kitu mpaka watathmini wazungu watatuchukuliaje wangeshika madaraka hawa saa hizi nac tungekuwa vibaraka hivi
 
hata hapa kwetu tz unaweza kuta hali ni mbaya zaidi kuliko hata Kenya...ila wananchi tutajuaje sasa wakati mamlaka zimekalia takwimu?!.
Uache uwendawazimu, utajuaje hao watu watakaougua korona wanatoka Nchi ya nje c hapo hapo ndani kwenu , jirani yako mtaani kwenu au kijijichenu Sasa Kama kutakua na wagonjwa usijue wewe una marafiki na marafiki zako Wana marafiki lazima ungesikia tu au mtaani kwenu yupo mtu unaemfaham anasumbuliwa na korona au aliefaiki ?
 
We takwimu za nini? Furahia maisha. Jiulize katika social network zako, wangapi wamefariki kwa corona? Je, idadi ya vifo, ni tofauti na kipindi corona haijatangazwa? Mfano tangu corona itangazwe, mtaani kwangu ni babu mmoja aged 90yrs amefariki akiwa igunga, msiba unaletwa nilipo.
hata hapa kwetu tz unaweza kuta hali ni mbaya zaidi kuliko hata Kenya...ila wananchi tutajuaje sasa wakati mamlaka zimekalia takwimu?!.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom