Kenya: Wabunge kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Bungeni kila Alhamisi

Hahaha na wanavyojua kujipendekeza kwenye Kiswahili, iwe lugha yao halafu wakifanye official language of the house 2020 tena mara 1 kwa week? Acheni utani

Halafu Ikumbukwe muongozo wa kuendesha bunge kwa Kiswahili wameutoa Tanzania na baadhi ya kanuni zetu wamezichukua kutoka bunge letu.

Stop being much pesmism bro.
Optimistic pays much.

#YNWA
 
Kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wamarekani wanaongea hadi lugha tano, halafu hao Warusi, Wajapani, Wachina asilimia kubwa wanajua zaidi ya hizo lugha zao za asili na wengi wao siku hizi wako mbioni kujifunza kingereza, dunia inazidi kuunganishwa na kingereza hivyo mtu mwenye akili anapambana ajifunze.
Nyie wazembe ndio mumeganda kwenye lugha moja na kudanganyana huko eti ndio uzalendo, japo Wabongo wenye hela na viongozi wenu wote wanapeleka watoto wao wasomee international schools, huku makajamba mumeachwa mnaambiwa uzalendo ni kuhangaika kwenye Kiswahili, halafu nafasi za kazi zinatangaza kwamba lazima anayeomba ajue kuongea/kuandika Kiswahili na Kingereza, hapo watu wa ze ze ze wengi mnaangukia pua.

Viongozi wenu wameshindwa kwenda nje ya nchi kisa lugha halafu wanaongopea eti wanabana matumizi.
[QUOTE="MK254, post: 37315485, member: 1424

wewe unashangaza sana, bado umeshikilia tu hiyo research yako ya uongo, kwa taarifa yako sio kila research inatakiwa kufuatwa kwani kuna baadhi ya research hufanywa na watu wanaotaka pesa au wanaotafuta academic certificates nk.

Sasa jifunze tofauti kati ya haya maneno; kujua na kujifunza, ni hivi; kujifunza ndiko kunakomfanya mtu aweze kuongeza uwezo wa akili yake na sio kujua, katika kujifunza mtu anakuwa anafanya Mental exercises, na katika kujifunza mtu ndipo anajua.

Sasa mtu anajifunza vitu vingi sio lugha pekee, hivyo ni katika kujifunza ndipo mtu anaongeza uwezo wa akili na sio katika kujua kitu chochote ikiwemo lugha.

Waarabu mental exercises wanaita; تمارين عقلية, kama ingalikuwa kujua lugha uwezo wa akili unaongezeka basi yule Muamerika mweusi anayejua lugha zaidi ya 20 angalikuwa ni Genius katika katika mambo mengi sana.

Nasema tena unapokuja na jambo la kuokota lifanyie kazi kwanza na ule ushibe ndipo ulilete hapa, kula na ushibe kwanza kwani Nyinyi na njaa ni marafiki , No sense without food.

Angalia;
Screenshot_20201116-063352.png
 
Sio mimi nimeshikilia, ila ndio uhalsia ulivyo, tafiti zimefanywa nyingi na zote kubaini binadamu wanaofaulu kuongea zaidi ya lugha moja wanaboresha uwezo wao wa kufikiri, wanatanua upeo wao na kimtazamo, ila mazwazwa wanaoganda kwenye lugha moja huwa wanakua kama wanakijiji ambao hawajafaulu kutoka nje ya kijiji chao.

Jiulize Tanzania licha ya kuwa na kila kitu, raslimali za kila aina, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri tu, yaani kila kitu lakini bado inatajw kwenye maskini wa kutupwa, wazembe wa kutumia ubongo, mnashindwa na kainchi kadogo kama Kenya, leo hii kiuchumi Kenya nusra iwpige mara mbili, tumewazidi kwenye kila kitu, kielimu, kijeshi yaani vyote, mpo hovyoo hadi mnatia huruma.
 
Kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wamarekani wanaongea hadi lugha tano, halafu hao Warusi, Wajapani, Wachina asilimia kubwa wanajua zaidi ya hizo lugha zao za asili na wengi wao siku hizi wako mbioni kujifunza kingereza, dunia inazidi kuunganishwa na kingereza hivyo mtu mwenye akili anapambana ajifunze.
Nyie wazembe ndio mumeganda kwenye lugha moja na kudanganyana huko eti ndio uzalendo, japo Wabongo wenye hela na viongozi wenu wote wanapeleka watoto wao wasomee international schools, huku makajamba mumeachwa mnaambiwa uzalendo ni kuhangaika kwenye Kiswahili, halafu nafasi za kazi zinatangaza kwamba lazima anayeomba ajue kuongea/kuandika Kiswahili na Kingereza, hapo watu wa ze ze ze wengi mnaangukia pua.

Viongozi wenu wameshindwa kwenda nje ya nchi kisa lugha halafu wanaongopea eti wanabana matumizi.

mbona bado u mjinga kiasi hiki,mbali na kujua kuongea kiingereza!!!
 
Kwakweli mimi ninakushangaa kushupalia tafiti za kipuuzi zilizofanywa na mzungu au yawezekana kwa udogo wa akili yako umeshindwa kumuelewa huyo mtafiti.

Narudia, kwa faida yako na faida ya huyo mtafiti wako, Lazima ujue tofauti kati ya hivi vitu viwili: 1-kujifunza na 2-kujua. Unapojifunza ndipo unapoipa akili yako mazoezi na hapo ndipo inapoimarika na ukishajifunza yaani ukishajua hicho ulichojifunza hapo tena akili yako haiimariki tena, sasa wewe unashikilia kwamba KUJUA na sio KUJIFUNZA lugha ndipo akili inaimarika!!!, hiyo sio kweli ni uongo, hivi unashindwa hata kutumia your common sense on the issue??? Unapotezwa na tafiti za kijinga!!!, Hi black man restore your sleeping senses. ---- Sasa ni hivi; kujifunza kupo kwa aina nyingi, mtu anaweza kujifunza Hesabu, na masomo mengine kama Physics na mambo mengi kadha wa kadha hiyo yote ni Mental exercise sio tu katika KUJIFUNZA lugha pekee ndipo akili ya mtu huimarika, Zingatia maneno:- Kujua na kujifunza, ili akili ifanye kazi vyema inahitaji Exercises, mtu anapojua kitu that is not a mental exercise but only learning.

Unataka kudanganya umma eti Wachina, warusi, na wajapani wengi wanajua kiingereza!!, huo ni uzandiki, sio kweli, hao wanapenda sana lugha zao na ndiyo maana wamezifanya kuwa ni medium of instruction katika nchi zao, wao sio watumwa na brain washed kama nyie kukumbatia Kiingereza na kuacha lugha yenu nzuri ya kiswahili na huo ni aina fulani ya Slavery.

Unasema tumeganda kwenye lugha moja na ni uzembe!!, nasema wewe unasumbuliwa na kasumba ya kiingereza kwamba mtu asiyejua kiingereza basi ni dhalili, mjinga na mzembe, kwani hujui mkataa kwao ni mtumwa, wewe ni mtumwa wa waingereza na inaonekana ungalikuwepo katika zama za kudai uhuru wa Kenya bila shaka ungalikuwa msaliti na kibaraka dhidi ya Waafrika wenzako, usingependa Waingereza waondoke, angalia sisi tunajivunia Kiswahili na Lugha zetu za asili, kiswahili ni lugha ya pili kwa ukubwa Africa, kiswahili leo kipo AU na kinasambaa Africa nzima na duniani kote, sasa unatokea wewe kibaraka wa wazungu na kudai kwamba kujua kiingereza kunaongeza akili!!! What a stupidity !!,--- kwa hiyo Wakikuyu, Wajaluo, Wakamba, Wakalenjin nk, wanaojua hizo lugha zao za asili pekee hawana akili??, au huko kwenu wakenya wote wanajua Kimombo pekee???, haya tufanye wanajua hizo lugha zao za asili na kiingereza pia, sasa kuna tofauti gani kati ya Wtz Wanaojua Kiswahili na Lugha zao za asili na hao nduguzo???, In that case We are all bilinguals therefore none among all of us should stand condemning and contempting the other.

Eti, Viongozi wetu wameshindwa kwenda nje kwa kutojua Kimombo!!!, (that's a nonsensical stereotype) kwani Kiongozi wa China alipokuja hapa Tz aliongea kiingereza?? au imesemwa kiongozi wa Africa anaposafiri kwenda nje lazima ajue kiingereza na lazima akifika huko aongee kiingereza???, au kuongea kiswahili awapo nje ni haramu??, huko nje hakuna watu wanaojua kiswahili??, Je hakuna wakalimani??, Mbona Wakenya wengi ndio wapo huko nje wakifundisha Kiswahili kibovu kwa wageni je hao nao ni wajinga??, je hawapati mkate wao kupitia hicho kiswahili unachokibeza???

Kumbuka mtu hujifunza mambo kwa haraka kupitia lugha mama kinachotakiwa ni lugha hiyo iwe imejaa elimu za kutosha, mfano Kiingereza , Kirusi, kijerumani, kijapani nk, hizo ni lugha mama zilizojaa elimu zinazotumika kufundishia respective natives na ndiyo maana hao natives wapo juu katika nyanja mbalimbali. Zamani katika karne ya 16-17 Lugha ya elimu ilikuwa Latin lakini Waingereza wakaona watu wengi hawajui Latin na hivyo walikosa nafasi ya kujua mambo mengi hivyo wakaamua kubadilisha na kuingia katika kiingereza; wakatafsiri elimu nyingi kutoka Latin kwenda kiingereza ndiyo maana leo kiingereza ni moja ya lugha kubwa za Elimu duniani.

Sasa ni wakati wetu sisi sote Wana Afrika mashariki kushirikiana kufanya kiswahili iwe lugha ya Elimu ni kupitia njia hii tutakuza vipaji na uelewa wetu wa mambo mbalimbali kwani a man understands /acquires better through his mother tongue language than through a learned language.

Kumbuka tofauti ya haya maneno; "kujua na kujifunza"---- mtu hakuzi akili yake akiwa kishajua kitu bali anakuza akili yake kipindi anapokuwa anajifunza na kuna aina nyingi sana za kujifunza vitu na mambo and on the course of the process /exercise a man strengthen his mental capacity and not the otherwise.
 
Kwakweli mimi ninakushangaa kushupalia tafiti za kipuuzi zilizofanywa na mzungu au yawezekana kwa udogo wa akili yako umeshindwa kumuelewa huyo mtafiti.

Narudia, kwa faida yako na faida ya huyo mtafiti wako, Lazima ujue tofauti kati ya hivi vitu viwili: 1-kujifunza na 2-kujua. Unapojifunza ndipo unapoipa akili yako mazoezi na hapo ndipo inapoimarika na ukishajifunza yaani ukishajua hicho ulichojifunza hapo tena akili yako haiimariki tena, sasa wewe unashikilia kwamba KUJUA na sio KUJIFUNZA lugha ndipo akili inaimarika!!!, hiyo sio kweli ni uongo, hivi unashindwa hata kutumia your common sense on the issue??? Unapotezwa na tafiti za kijinga!!!, Hi black man restore your sleeping senses. ---- Sasa ni hivi; kujifunza kupo kwa aina nyingi, mtu anaweza kujifunza Hesabu, na masomo mengine kama Physics na mambo mengi kadha wa kadha hiyo yote ni Mental exercise sio tu katika KUJIFUNZA lugha pekee ndipo akili ya mtu huimarika, Zingatia maneno:- Kujua na kujifunza, ili akili ifanye kazi vyema inahitaji Exercises, mtu anapojua kitu that is not a mental exercise rather learning is the one.

Unataka kudanganya umma eti Wachina, warusi, na wajapani wengi wanajua kiingereza!!, huo ni uzandiki, sio kweli, hao wanapenda sana lugha zao na ndiyo maana wamezifanya kuwa ni medium of instruction katika nchi zao, wao sio watumwa na brain washed kama nyie kukumbatia Kiingereza na kuacha lugha yenu nzuri ya kiswahili na huo ni aina fulani ya Slavery.

Unasema tumeganda kwenye lugha moja na ni uzembe!!, nasema wewe unasumbuliwa na kasumba ya kiingereza kwamba mtu asiyejua kiingereza basi ni dhalili, mjinga na mzembe, kwani hujui mkataa kwao ni mtumwa, wewe ni mtumwa wa waingereza na inaonekana ungalikuwepo katika zama za kudai uhuru wa Kenya bila shaka ungalikuwa msaliti na kibaraka dhidi ya Waafrika wenzako, usingependa Waingereza waondoke, angalia sisi tunajivunia Kiswahili na Lugha zetu za asili, kiswahili ni lugha ya pili kwa ukubwa Africa, kiswahili leo kipo AU na kinasambaa Africa nzima na duniani kote, sasa unatokea wewe kibaraka wa wazungu na kudai kwamba kujua kiingereza kunaongeza akili!!! What a stupid!!,--- kwa hiyo Wakikuyu, Wajaluo, Wakamba, Wakalenjin nk, wanaojua hizo lugha pekee hawana akili??, au huko kwenu wakenya wote wanajua Kimombo pekee???, haya tufanye wanajua hizo lugha zao za asili na kiingereza pia, sasa kuna tofauti gani kati ya Wtz Wanaojua Kiswahili na Lugha zao za asili na hao nduguzo???, In that case We are all bilinguals therefore none among all of us should stand condemning and contempting the another.

Eti, Viongozi wetu wameshindwa kwenda nje kwa kutojua Kimombo!!!, (that's a nonsensical stereotype) kwani Kiongozi wa China alipokuja hapa Tz aliongea kiingereza?? au imesemwa kiongozi wa Africa anaposafiri kwenda nje lazima ajue kiingereza na lazima akifika huko aongee kiingereza???, au kuongea kiswahili awapo nje ni haramu??, huko nje hakuna watu wanaojua kiswahili??, Je hakuna wakalimani??, Mbona Wakenya wengi ndio wapo huko nje wakifundisha Kiswahili kibovu kwa wageni je hao ni wajinga??, je hawapati mkate wao kupitia hicho kiswahili unachokibeza???

Kumbuka mtu hujifunza mambo kwa haraka kupitia lugha mama kinachotakiwa ni lugha hiyo iwe imejaa elimu za kutosha, mfano Kiingereza , Kirusi, kijerumani, kijapani nk, hizo ni lugha mama zilizojaa elimu zinazotumika kufundishia respective natives na ndiyo maana hao natives wapo juu katika nyanja mbalimbali. Zamani katika karne ya 16-17 Lugha ya elimu ilikuwa Latin lakini Waingereza wakaona watu wengi hawajui Latin na hivyo walikosa nafasi ya kujua mambo mengi hivyo wakaamua kubadilisha na kuingia katika kiingereza; wakatafsiri elimu nyingi kutoka Latin kwenda kiingereza ndiyo maana leo kiingereza ni moja ya lugha kubwa za Elimu duniani.

Sasa ni wakati wetu sisi sote Wana Afrika mashariki kushirikiana kufanya kiswahili iwe lugha ya Elimu ni kupitia njia hii tutakuza vipaji na uelewa wetu wa mambo mbalimbali kwani a man understands /acquires better through his mother tongue language than through a learned language.

Kumbuka tofauti ya haya maneno; "kujua na kujifunza"---- mtu hakuzi akili yake akiwa kishajua kitu bali anakuza akili yake kipindi anapokuwa anajifunza na kuna aina nyingi sana za kujifunza vitu na mambo and on the course of the process /exercise a man strengthen his mental capacity and not the otherwise.

Mimi kawaida nikisoma sentensi ya kwanza nione mtu ameandika utopolo, huwa sihangaiki kusoma insha yote maana humo ndani hamna kikubwa zaidi ya pumba, umedhihirisha ukilaza wako kwenye hiyo sentensi ya kwanza eti unaponda tafiti zote zinazopigia upatu uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja kisa zimefanywa na wazungu.

Hata utumie nguvu nyingi kiasi gani, uzembe wenu wa kutokujua kingereza utaendelea kuwatesa sana, nimeishi Bongo miaka mingi sana na nimeshuhudia namna kutokujua kingereza huwatesa Watanzania, haswa walio maofisini, kwa nchi ambayo haijitegemei kwa chochote hata kiwanda cha sindano haina, kila kitu lazima muagize kutoka kwa "wazungu", hamna jeuri ya kutunisha misuli kwenye suala la lugha.
Binafsi napenda Kiswahili sana, lakini sijajiachia nigande kama zezeta kwenye lugha moja, naongea lugha yangu ya asili, pia naongea Kiswahili, Kingereza na zaidi naongea lugha kadhaa za asili za huku Kenya ikiwemo Kijaluo, Kiluhya na hata huko Bongo nilikua najifunza Kipare na Kihaya japo waongeaji ndio hawakua wengi, huko kwenu wengi hamjui kuongea lugha zenu za asili, hata salamu pekee zimewashinda kwa mlivyo wazembe, na Kiswahili chenyewe uandishi wenu hutia kinyaa, hamna hata lugha moja mliyoimudu.

Bure kabisa nyie watu... Sema Wabongo wachache wanaojua Kingereza huwa na maisha nafuu sana, sijakuta Mtanzania hata mmoja anayejua Kingereza halafu anahangaika ajira.
 
Mimi huwa sisomi habari nzima baada ya kuona neno la sentensi ya kwanza tu lilivyokuwa tenge.

Wewe ni mtumwa wa Kiingereza, Full stop. Mimi natumia kiingereza na kiarabu katika shughuli zangu lakini sio mtumwa wa hizo lugha, ninapenda kiswahili na lugha yangu ya kikabila kwa maana hiyo ninajua lugha 4, kwa fasaha zaidi ya zingine ninajua kiswahili.

Sijasoma utumbo wako hivyo naishia hapa.
 
Safi sana komea hapo na uzembe wenu huo, acha kuandika andika insha zisizodhihirisha matumizi ya ubongo, tutaendelea kuwashinda kwenye kila kitu hadi vizazi vyenu vya miaka zaidi ya 100 ijayo, haya kwaheri....
 
Nawe komea hapo na upuuzi wako wa kitumwa kuabudu lugha za wenzako na kudharau lugha zako, utaendelea kuwa mtumwa wa watu weupe hadi siku ya kiyama.

Isitoshe nenda kajifunze mambo na uongeze uwezo wa akili yako finyu uliokufanya unukuu tafiti za kijinga nakuja nazo humu bila haya.

أنت مجنون
 
Nawe komea hapo na upuuzi wako wa kitumwa kuabudu lugha za wenzako na kudharau lugha zako, utaendelea kuwa mtumwa wa watu weupe hadi siku ya kiyama.

Isitoshe nenda kajifunze mambo na uingeze uwezo wa akili yako finyu kunukuu tafiti za kijinga nakuja nazo humu bila haya.

أنت مجنون

Lugha "zangu" ni moja tu, yangu ya asili, nyingine zote hizo nimeletewa nizitumie ili kuwasiliana na watu wasio wa asilia yangu, nikiwa kwetu natumia yangu ya asili kuzungumza na watu wa asili yangu, nikiwa nje nikutane na Wakenya wenzangu inabidi nitumie Kiswahili maana hawajui lugha yangu ya asili, nikikutana na majirani wote kasoro Watanzania, natumia Kingereza maana kinaninufaisha kwenye kuwasiliana nao, kinanipa uwezo wa kuwasiliana na watu wa mataifa yote dunani.
Nyie wazembe kimewashinda mumeishia ngonjera tu....eti kujua kingereza ni utumwa, hovyoo kabisa na bora muendelee kwenye huo uzembe maana ndio mtaji wa Wakenya wengi wanaoitwa huko kufanya baadhi ya kazi zinazohitaji ufahamu wa Kingereza.
 
Lugha "zangu" ni moja tu, yangu ya asili, nyingine zote hizo nimeletewa nizitumie ili kuwasiliana na watu wasio wa asilia yangu, nikiwa kwetu natumia yangu ya asili kuzungumza na watu wa asili yangu, nikiwa nje nikutane na Wakenya wenzangu inabidi nitumie Kiswahili maana hawajui lugha yangu ya asili, nikikutana na majirani wote kasoro Watanzania, natumia Kingereza maana kinaninufaisha kwenye kuwasiliana nao, kinanipa uwezo wa kuwasiliana na watu wa ma
taifa yote dunani.
Nyie wazembe kimewashinda mumeishia ngonjera tu....eti kujua kingereza ni utumwa, hovyoo kabisa na bora muendelee kwenye huo uzembe maana ndio mtaji wa Wakenya wengi wanaoitwa huko kufanya baadhi ya kazi zinazohitaji ufahamu wa Kingereza.

Wewe ni hopeless, mimi sijasema kujua lugha nyingine ni utumwa, mimi mwenyewe najua Lugha tano 5, 1-- kiingereza, 2 kiswahili, 3 kiarabu 4, 2Vernacular languages.

Kama kujua kiingereza ni utumwa basi na mimi ni mtumwa!!!;

Mada ilianza kwa wewe kusema kwamba kujua lugha zingine kunaongeza uwezo wa akili (mental ability) na ukanukuu tafiti kutoka kwa mjinga mwenzako, mimi nikakupa somo usilolipenda kwamba kujifunza ndipo akili ya mtu huimarika na sio kujua na kujifunza kupo kwa aina nyingi sio kujifunza lugha tu.

Kilichofuatia ni wewe kudanganya umma kwamba Warusi, Wachina, Wajerumani, Waingereza, Wajapani wanajua lugha zaidi ya lugha zao ili kuunga mkono upuuzi wako kwamba kujua lugha zaidi ni kuimarisha uwezo wa akili, watu walio wengi wa hayo mataifa hawajui lugha zaidi ya moja na wapo mbele zaidi yenu nyie mnaotambia kujua kiingereza na hizo lugha zao ndio media of instructions katika nchi zao.

Ukaleta hoja ya kukejeli kwamba sisi ni wazembe na hatujui kiingerza kwa kushikilia kidwahili tu na ndio maana tupo nyuma nk, Mimi nikakupa hoja kwanba hata huko kwenu Wapo wasiojua kiingereza, wanajua kilugha na kiswahili tu na huku Tz ni hivyo wapo wanaojua kiswahili na vilugha tu sasa hapo nani wa kumlaumu na kumcheka mwenzake???.

Kuabudu lugha ya mwenzako ndiyo utumwa, unajifaharisha kwa kujua vizuri lugha ya mwenzako (japo nahakika bado huwezi kujua kama native Englishman ) na unasahau lugha yako Kiswahili inayokuwa kwa kasi duniani huo pia ni utumwa.

Mimi ni mswahili hasa na ndiyo maana natukuza kiswahili changu jinsi a native Englishman esteems his English language.

Acha hizo sterotype za kitumwa wewe ni mtu mweusi tii usijifanye mzungu.
 
Watuaribia lugha hao.
kipindi Magufuli ni waziri wa kilimo na uvuvi kuna mbunge mmoja wakenya alitamka"muheshimiwa wasiri wa kilimo na"uvivu"
 
Unazidi kuonyesha ulivyo bogus, unatumia nguvu nyingi kuandika hizi insha ambazo sizisomi maana nina uhakika zimesheheni pumba, sentensi moja ya kwanza imetosha nione ulivyo na upeo mdogo. Acheni uzembe mjifunze kuandika, kuongea na kusoma zaidi ya lugha moja hususan Kingereza maana ndio lugha ya dunia inayotumiwa kuunganisha dunia, leo Mchina akitaka kuuza bidhaa zake duniani, lazima ajifunze kingereza.
Ndio maana huwa mnapigwa sana kwenye mikataba ya raslimali zenu, kila kitu mnaangukia pua, korosho, gesi n.k. Tatizo uzembe wa kuganda kwenye lugha moja.

Kuna Watanzania wachache wanalielewa hili https://www.jamiiforums.com/threads...taifa-umuhimu-wa-lugha-ya-kiingereza.1104749/
 
Lugha ya Kiswahili itatumika kuendesha mijadala ya Bunge la Kenya kila siku ya Alhamis kwa mujibu wa Kanuni mpya zitakazopitishwa na Rais Uhuru Kenyatta leo

Tukio hilo la kipekee linatarajiwa kufanyika wakati Rais Kenyatta atakapohutubia Mkutano wa Bunge na Seneti kwa pamoja

Kanuni hizo zitajulikana kama "Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa - Toleo la Tano (Tafsiri ya Kwanza)", ambazo ni matunda ya maendeleo ya juhudi za Kikosi kazi maalumu kilichoajiliwa na Bunge kwa ajili ya kutengeneza mchakato huo

Kwa muda mrefu Wabunge wa Kenya wamekuwa wakitumia Kiswahili katika shughuli zao za kila siku za Kibunge lakini walikosa vitabu vya sheria na kanuni vyenye tafsiri ya Kiswahili

Kifungu cha 7 cha Kanuni hizo kinaeleza kuwa Kiswahili itakuwa Lugha rasmi ya Jamhuri ya Kenya huku Kifungu cha 120 kinaeleza kuwa Lugha Rasmi ya Bunge itakuwa Kiswahili kikifuatiwa na Kiingereza na Lugha ya Alama ya Kenya

====

Kiswahili will be the language of debate in Parliament every Thursday in a new parliamentary rules set to be unveiled by President Uhuru Kenyatta today. The president will launch the Swahili and bilingual versions of the National Assembly Standing Orders.

The launch will be conducted in the afternoon within the main parliament buildings immediately after the President has delivers his state-of-the-nation address to the joint sitting of the National Assembly and Senate.

The unveiling of the "Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa -- toleo la tano (tafsiri ya kwanza)", follows the successful development of the Swahili register by a task force purely made up of employees of parliament appointed by National Assembly Clerk Michael Sialai in February last year.

While MPs have been keen to use Kiswahili when filing business, debating and preparing reports, the parliamentary language register had not yet been developed. Now the Standing Orders have been translated and a glossary of terms duly prepared for ease of reference.

National Assembly Speaker Justin Muturi said that the use of Kiswahili rules is a step in the right direction in the promotion of the national language. "What we have done in the initial stages is to relax the rules a little bit so that members can mix Kiswahili with English when contributing," said Speaker Muturi, adding that each member will have to get the Kiswahili and bilingual versions of the House rules to enhance their ability.

The unveiling of the "Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa" comes after the House adopted the third report of the Procedure and House Rules Committee on October 29, 2019.

Articles 7 and 120 of the Constitution and National Assembly Standing Order 77 and 223 leave no doubt that Kiswahili should be the language of use in the Houses of Parliament.

Article 7 provides that Kiswahili is the national and official language of the republic. Article 120 provides that the official languages of Parliament shall be Kiswahili, English and Kenyan Sign Language, and the business of parliament may be conducted in English, Kiswahili and Kenyan Sign Language.

Standing Orders
Standing Orders 77 and 223 buttress the use of Kiswahili in the House. Standing Order 77 provides that "a member who begins a speech in any of the languages provided for shall continue in the same language until the conclusion of their speech."

Article 259 (2) of the constitution provides that if there is a conflict between different language versions of this constitution, the English language version prevails.

Article 120 (2) also stipulates that in case of a conflict between different language versions of an Act of Parliament, the version signed by the President shall prevail.

The task force appointed by Mr Sialai was chaired by Mr Kipkemoi arap Kirui, the Deputy Director, Directorate of Legislative and Procedural Services.

It was tasked with working on a draft translation of the Standing Orders which was to be subjected to internal review, and later to an external (both local and regional) peer review. It was later to be validated by Kiswahili language experts and translators.

Members of the task force included Mr Salem Lorot (Legal Counsel II) Mr Benson Mwale (Clerk Assistant II), Ms Anne Shibuko (Clerk Assistant II), Mr Mwambeo Mwang'ombe (Hansard Reporter II) and Mr Mwahunga Kalama (Hansard Reporter III). They were assisted by Ms Rebecca Munyao (Secretary) and Ms Assumpta Mbugua (Office Assistant).

While many parliaments in Africa have adopted English only or French only language policies in their parliaments, others have allowed the use of several indigenous languages in addition to a foreign language.

Kenya has had a chequered history in its attempts to mainstream Kiswahili usage in governance. House rules help define the character of a parliament by describing the rights and obligations of members and identifying and assigning roles and functions to the key organs of the institution.

Source: Daily Nation
TANZANIA na sisi kila ALHAMISI tutumie KINGEREZA kwenye BUNGE LA KINA BABU TALE.
 
Hahaha na wanavyojua kujipendekeza kwenye Kiswahili, iwe lugha yao halafu wakifanye official language of the house 2020 tena mara 1 kwa week? Acheni utani

Halafu Ikumbukwe muongozo wa kuendesha bunge kwa Kiswahili wameutoa Tanzania na baadhi ya kanuni zetu wamezichukua kutoka bunge letu.

Labda kama alizindua kwa lugha ya Kiswahili, ila huu mfumo wa bunge(Tanzani, kenya na nchi nyingine) tumerithi kwa wakoloni waingereza.

"Westminster" model of parliament.
 
Back
Top Bottom