Polisi nchini Kenya wamelazimika kuendelea kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaoshinikiza tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kujiuzulu kwa kile wanachodai tume inapendelea chama tawala.Kutokana na mvutano uliopo kati ya jeshi la usalama na waandamanaji biashara nyingi zimekwama kwa hofu ya kupoteza mali zao wakati wa vurugu hizo.
Asubuhi ya leo Polisi walitawanywa katika maeneo mbalimbali mjini Nairobi ikiwa ni moja ya mbinu yakuyakabili maandamano hayo ambayo ufanyika kila jumatatu (ITV)
Asubuhi ya leo Polisi walitawanywa katika maeneo mbalimbali mjini Nairobi ikiwa ni moja ya mbinu yakuyakabili maandamano hayo ambayo ufanyika kila jumatatu (ITV)