#COVID19 Kenya: Vifo vya Covid-19 vyafikia 3308

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,874
Kenya imerekodi maambukizi mapya 148 ya Corona na kufanya kuwa na jumla ya maambukizi 172,639 tangu kuripotiwa COVID19 nchini Kenya.

Ndani ya Saa 24 zilizopita watu 21 wamefariki kwa COVID19 na kufanya idadi ya jumla kuwa 3,308

Aidha wagonjwa 631 wamepona na kufanya idadi kuu ya waliopona maambukizi kuwa 118,226
 
Why cumulative? At a hizo cases zip cumulative..mtu akiumwa akapona then akaumwa tena zinacount number tofauti..acheni ujinga wakunya.
 
Data ya kwenu imewashinda sasa mnaanza kufywatilia za watu ambao wamekua wakitangaza bila kufeli.
 
Back
Top Bottom