Kenya: Upinzani (NASA) yapeleka masharti ya kushiriki marudio ya uchaguzi IEBC

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
Upinzani (NASA) unaoongozwa na Bwana Raila Odinga umepeleka masharti ya kushiriki marudio ya uchaguzi. NASA yataka marekebisho muhimu kufanyika kabla ya uchaguzi huo.

b64c522440291821254db39de7157b3c.jpg

69ac4647d9940ebaba2cb65dee1013f2.jpg

2665161b5db0065bad35d4e54da6fa84.jpg

8890fd8dca45ccbc8e276cf4cbf93df5.jpg
 
Duh! Kazi ipo huko Kenya; hakuna kuaminiana kwa namna yoyote ile. Sasa IEBC waki-disclose kila kitu usalama wa mfumo na data zilizomo utatoka wapi? Kila kitu disclose hadi passwords! Wanachofanya NASA naona wameamua kuvuruga tu uchaguzi baada ya kuhisi wanaenda kupigwa tena; tena pigo baya zaidi.
 
Sasa hivi NASA wanaimba ule wimbo wa shule ya chekechea. Naskia sauti..., naskia sauti...! Sauti ya, mamaaaa, sasa ni saa sitaaa, mwalimu kwaheriii! Jubilee tulishafika home kitambo, tulirukia kwenye dirisha! Hehehe! Walilala darasani zamani sana! Pole zao!
 
Duh! Kazi ipo huko Kenya; hakuna kuaminiana kwa namna yoyote ile. Sasa IEBC waki-disclose kila kitu usalama wa mfumo na data zilizomo utatoka wapi? Kila kitu disclose hadi passwords! Wanachofanya NASA naona wameamua kuvuruga tu uchaguzi baada ya kuhisi wanaenda kupigwa tena; tena pigo baya zaidi.

Dalili ni kweli kuwa NASA watapigwa vibaya sana kwa sababu sasa zaida ya nusu ya Waluhya, Wakamba wameungana na Uhuru baada ya kumchagua Mhe Ken Lusaka kuwa Spika, Abaluhya wamefurahi sana, kina Ababu Namwamba, Were, Otuoma wa ODM wanampigia kampeni Uhuru. Pili Isaac Ruto mpinzani mkubwa wa William Ruto na Uhuru karudi Jubilee ya Uhuru sasa kura zote za Kalenjin ni za Uhuru. Dalili pia ni kuwa Uhuru atashinda kwa kura siyo chini ya 9.7 millioni which is a landslide victory in waiting!
 
Back
Top Bottom