Kenya, Uganda wanaandama kwa kupanda kwa bei ya mafuta... Tz nduhu taabu nkoi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya, Uganda wanaandama kwa kupanda kwa bei ya mafuta... Tz nduhu taabu nkoi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Apr 20, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Serikali ya Kenya imeshusha ushuru kwenye bei ya mafuta baada ya wananchi kuanza kuandama (lita moja walikuwa wanalipa KShs19 na ushee ambayo ni sawa na kama 342) sisi tunalipa zaidi ya Tshs 540 kwa lita na tumetulia tuli huku bei ya mafuta ikiendelea kututesa .... ama kweli Tz mambo poa....

  Inabidi tuwapigishe jamba jamba wapunguze bei na matumizi ya serikali, serikali yetu imejaa anasa tu na wanaendelea kutunyonya..
   
 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ...tukiandamana, mashehe nao wanaitisha parallel demonstrations kupinga maandamano yetu eti kwa vile tunam-subotage Muislam mwenzao!!! labda huko Kenya na Uganda walioandamana ni waislam tu kwa vile marais ni wakristo.
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Definition ya maandamano kwa nchi yetu ipo tofauti sana na nchi za wenzetu. Kwa mujibu wa CCM maandamano Tanzania yanamaanisha kuvunja amani tuliyo izoea, wakati mahala pengine maandamano ni njia mojawapo wa kuelezea hisia ya watu juu ya jambo fulani.
   
 4. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania sisi ni waoga sana, tukitishwa kidogo tu maandamano tunasitisha!
   
Loading...